Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

Talanta zipi? Kipi remarkable alichowahi fanya huyo marope? Au ni muendelezo wa kurithishana?
 
Rais ni mama Samia.
Na tutaandana katiba ibadilishwe ili awe kama Malkia wa Uingereza .
Atawale bila kikomo. Tuwe na Malkia ambaye ni mama Samia Sululu.
Mtendaji mkuu awe Waziri Mkuu.
Apende asipende Mama Samia ni Rais mpaka 2040.
 
Kama ni suala la kuwa mrithi haina ubishi kuwa January ni mrithi wa mzee Yusuph Makamba.

Pia uongozi wa sasa ni Rais Wetu mama Samia S. Hassan yeye bado hajaongea mambo ya mirathi kwani bado sana.

Pia kwa mifano halisi warithi wa Hayati Dr. Magufuli ni watoto wake wala sio mama Samia.

Kumbuka urais haurithishwi next time jaribu kuficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom