Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,975
- 3,623
Talanta zipi? Kipi remarkable alichowahi fanya huyo marope? Au ni muendelezo wa kurithishana?
why notRais Msambaa?
akili zake sio tu fupi,ni fupi lakini pia zimechuchumaaUmeweka ukabila uchagga,ukaweka ukanda kanda ya ziwa...eti umefika udini uislamu eti unaanza kua mnafiki eti sio vizuri kuweka udini,halafu umeuweka anyways!
akili fupi
... fikra na mawazo ya kibinadamu ni finyu sana!Ninatamani Mpango amrithi JPM
UtoziHivi January Makamba hua anasifiwa kwa kitu gani hasa?
Daaah we jamaa ni mtabiriUsoni hauoni macho yake? Wanajua hafiki 2025.