Kwa umoja huu uliopo wa EAC nahisi wananchi bado wana kazi kubwa!

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
EAC ina nchi wanachama 6 ambao ni active member, yaani Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini ingawa Sudani nao bado wana harakati zao.

Lakin umoja huo wa nchi hizo sioni mafanikio wala chochote cha msaada kutoka kwa kwao endapo kutakuwa na hali kama iliyo jitokeza Gambia. Kwa sababu 95% kama sio zaidi viongozi wake wana sifa mfanano kabisa pamoja na mifumo yao ya utawala sasa nani atamfunga paka kengele???Except kenya kwa kiasi fulan. NI HAYO TU.
 
Ndio maana wanaungana kwa kuwa wana fanana, huu umoja wetu tusitegemee matunda ya umoja wa kina Gambia, hatufanani., hukuona kiongozi wa nchi moja analaani majeshi ya ECOWAS kwenda kumtoa Jammeh?! Umoja wa EAC ni wa wapiga dili tu.
 
Back
Top Bottom