Kwa Umeme Huu wa Mafungu, CCM Itarajie Chuki Zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Umeme Huu wa Mafungu, CCM Itarajie Chuki Zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 30, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila nishati ya umeme hakuna maendeleo. Wakati CCM wakiendelea kupiga porojo na propaganda za 'kulazimisha kupendwa' na wananchi, kinyume chake ni kuwa wananchi wanakichukia sana chama hiki na serikali yake iliyojaa wezi na walaghai. Nimeamka hakuna umeme, jua linakuchwa hakuna umeme. Kama siyo ujinga ni nini?

  Tusubiri 2015.

  you'll know what we mean.

  The prophet.
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Naogopa kusema kuwa serikali wakishahakikisha umeme upo basi watanzania watawapenda sana. Mi nachoona hapa kututaabisha ni moja ya technical issue kuelekea uchaguzi 2015. Tunahangaika kwa miaka kama 2 then inshu inakuwa solved, watu watakuwa wamejipatia umaarufu wao na kushinda kiurahisi, am just thinking about that! kwani wabongo ni wepesi wa kusahau.
  Lets wait and see!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi nashangaa kweli kweli huo uchumi unaokua kwa asilimia saba wanazotudanganyia wakati hatuna umeme wa uhakika unakulia pande za wapi? pale LUMUMBA aU maana sioni hiyo asilimia saba inatoka wapi wakati tupo hoiiiii
   
Loading...