Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

Lkn hao wote ni wakazi wa ukonga na wanasifa za kupiga kura sio ikawa watu wametoka kimara na mbagala wanajaza uwanja uchaguzi ukipita matokeo yakitoka tunaanza lawama
Jamani uchaguzi umeishaisha, tupeni sasa matokeo ya picha za umati wenu sana. Nyie viumbe wa sayari ipi hata mjifunzi to wakati wa mafuriko hewa ya 2015 bado hamuoni aibu kujivunia umati?
 
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Picha za 2014/5
 
Rais Magufuli simamia haki ya wananchi ya kuchagua chaguo lao sahihi na siyo vyombo vya dola viwe sehemu ya haki hiyo kuchagulia wawakilishi wao kwa niaba yao kama ambavyo imezoeleka chaguzi nyingi zilizopita
Rais Magufuli asimamie haki, thubutu! Uchaguzi ukiwa huru na wa haki, hata yeye mwenyewe anajua hawezi kupata hata asilimia ishirini ya kura za Watanzania na hiyo ishirini labda itoke mikoa ile ilee ya kwetu! Kwa mtu asiye na sifa, busara, hekima wala uwezo, ukosefu wa haki na uhuru ndiyo silaha kuu katika kuhakikisha ushindi wa bwerere kama tunavyoshuhudia awamu hii. Fikiria timu iko peke yake uwanjani lakini bado inabidi icheze fouli kujihakikishia ushindi, really?
 
Back
Top Bottom