Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Magufuli na Wafuasi wake wanaomlinda pamoja na yote hayo wafike mahala watambue kuwa wananchi tumewakataa.

Tumewakataa kwa njia ya sanduku la kura hadi kwenye maisha ya kawaida, hata kusikiliza wanachosema hatuna habari nao. Mioyo wa wananchi sasa iko na chadema, wataua, watapiga watu lkn ukweli ndio huo.
" when a desiparate desire to be loved worsening by beong denied in community".

Ccm wataua wananchi wengi kwa kupaniki watakuja kugundua kuwa kweli hawapendwi too late na wameshafanya maasi mengi.
 
Lkn hao wote ni wakazi wa ukonga na wanasifa za kupiga kura sio ikawa watu wametoka kimara na mbagala wanajaza uwanja uchaguzi ukipita matokeo yakitoka tunaanza lawama
Mara nyingi hiyo michezo ya CCM kuhamisha watu na malori ili wakawasaidie kujaza viwanja
 
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Chadema na wananchi ccm na polisi .
 
Kwahiyo nguvu zote anazotumia rais kuaminisha watu kuwa amekubalika sana kumbe ni uongo maana kwa hali hii inaonesha bado upinzani una nguvu ya ajabu
 
Kwenye kupiga kura mbona huo umati haujaonekana vituoni? Mikutano uswahilini ni kama kutoka OUT,Uswahilini watu wengi hawana uwezo wa kwenda beach nk kwa hiyo wanafurika mikutanoni.Jiulize hao umati wa CHADEMA mbona hawajajitokeza vituoni kupiga kura? Mleta mada umati wako umeyeyuka leo haujaonekana vituoni kupiga kura
 
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Bahati mbaya sana sijasoma thread yako yote, nimesoma kidogo na baada kugundua kwamba msingi wake wote umejikita kwenye wingi wa watu kwenye mikutano nikapata kichefuchefu cha kuimalizia. Kila siku mnaelezwa kujaza watu kwenye mikutano haimaanishi kwamba mnaungwa mkono au wanaokuja hapo wote ni wapiga kura. Wengine wanakuja kupoteza muda baada ya kukosa shughuli za kufanya, wengine ni wafuasi wa vyama vingine wanakuja tu kuwasikiliza mna lipi jipya, wengine wanakua hawana upande wowote yaani wapo neutral. mbaya zaidi hawa walio neutral, kama hamkujipanga vizuri baada ya mkutano mnakua mmewapa sababu ya kutowachagua kutokana na kutoridhishwa na sera/maelezo yenu.

Sasa matokeo ya kuamini kujaza watu kwenye mikutano ni kuungwa mkono au ni kielelezo cha ushindi kwenye uchaguzi, ndicho kinachopelekea kuamini kuwa mnaibiwaga kura kwenye uchaguzi baada ya kushindwa.

Narudia kusema bahati mbaya sana hatujifunzi kutokana na chaguzi za nyuma hususan Uchaguzi Mkuu wa 2015. Hakuna mtu aliekua anajaza watu kwenye mikutano kama Lowassa. Lakini kumbe watu wale walikua kwenye miji mikubwa tu kama Arusha, Mwanza, Dar n.k. ambao wengi wao siyo wapiga kura. Tukawasahau watu wa vijijini ambao ndo wengi zaidi na ndiyo wanaopiga kura. Matokeo yake mgombea wetu akawa anapita maeneo yale yale anayoona anaungwa mkono tena kwa kutumia helicopter wakati mwenzie alikua anapita kijiji kwa kijiji pamoja na vitongoji vyake kwa kutumia barabara ili kuwafikia watu wengi zaidi. Matokeo yake tunayajua, tukaishia kusema tumeibiwa kura.

Nimalizie kusema, kujaza watu kwenye mikutano kuchukuliwe kama fursa kwa chama kunadi sera zake na kuwabadilisha watu fikra ili kiweze kuungwa mkono zaidi badala ya kuchukuliwa kama kielelezo cha kushinda uchaguzi. Tukibadilisha mentality hii, itatusaidia kuacha kulalamika na kubweteka tukidhani tunaungwa mkono sana au tuna wafuasi wengi sana, na badala yake tutakuja na mbinu bora zaidi za kushinda uchaguzi otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji na walalamikaji.
 
Ufipa hawatakuelewa mkuu, wanajua wote hao ni kura zao. hahahaaa
 
Mmeanza tena tabia zenu za enzi za mafuriko ya ngoyayi?
kwa tabia hii CCM itabaki milele.
 
Ufipa hawatakuelewa mkuu, wanajua wote hao ni kura zao. hahahaaa
Ndiyo tatizo kubwa walilonalo. Wengine ni wafuasi wao wametoka kwenye majimbo mengine kama ubungo, kibamba na Kawe wamekuja kuwapa support lakini siyo wapiga kura wa hapo. Kwahiyo, siku ya kupiga kura wote wanakua kwenye majimbo yao walipotoka.
 
wengine hawana hata kadi za kupigia kura, halafu papara nyingii.

Lowassa aliposhindwa 2015 alianza kulalamika eti kaibiwa kura kwakuwa mikutanoni kulikuwa na watu wengi (mafuriko)

na wakishindwa wanaanza kulalamika kuwa wameibiwa kura ilihali kura hazikutosha.
 
Viongozi wa kitaifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mwenyekiti Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dr Vicente Mashinji na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh Halima Mdee wakihitimisha kampeni za kumnadi mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chadema dada Asia Msangi

Kwa umati huu ni salamu kwa Mwenyekiti wa ccm taifa kuwa upinzani kupitia vyama vya siasa ni imani iliyojengeka kwenye fikra za wananchi

Upinzani haumalizwi kwa nguvu ya dola, nguvu ya dola hunyamazisha tu upinzani lakini siyo kuufuta, ili mpunguze nguvu ya upinzani tendeni haki kwa makundi yote ya kijamii bila kujali matabaka

Ccm wajitafakari siasa zao za hovyo namna zinavyogawa taifa kwa misingi ya kisiasa, hali hii inaongeza upinzani dhidi ya ccm na serikali kwa ujumla badala ya kuupunguza nguvu

Chama kilicho na rasilimali watu wengi namna hii utasemaje kinakufa! Akili za kujipa faraja hewa kwa Viongozi wa ccm na serikali iliyopo madarakani kuwa upinzani umekufa ndio zinawafanya washindwe kuona jambo katika uhalisia wake

Tunaomba mpambano huu wa Chadema vs Ccm uwe wa kisiasa na siyo mpambano wa vyombo vya Usalama vs Chadema kama ambavyo tumeona chaguzi karibu zote zilizopita

Rais Magufuli simamia haki ya wananchi ya kuchagua chaguo lao sahihi na siyo vyombo vya dola viwe sehemu ya haki hiyo kuchagulia wawakilishi wao kwa niaba yao kama ambavyo imezoeleka chaguzi nyingi zilizopita
MARA NYINGI CDM NA CUF WANA- IMPORT WAPENZI NA WANACHAMA KUTOKA NJE YA ENEO NA MATOKEO YAKE NI KUPAMBWA VIZURI KWENYE MAGAZETI LAKINI MWISHO WA SIKU NI MATOKEO MABAYA YA UCHAGUZI
 
Bahati mbaya sana sijasoma thread yako yote, nimesoma kidogo na baada kugundua kwamba msingi wake wote umejikita kwenye wingi wa watu kwenye mikutano nikapata kichefuchefu cha kuimalizia. Kila siku mnaelezwa kujaza watu kwenye mikutano haimaanishi kwamba mnaungwa mkono au wanaokuja hapo wote ni wapiga kura. Wengine wanakuja kupoteza muda baada ya kukosa shughuli za kufanya, wengine ni wafuasi wa vyama vingine wanakuja tu kuwasikiliza mna lipi jipya, wengine wanakua hawana upande wowote yaani wapo neutral. mbaya zaidi hawa walio neutral, kama hamkujipanga vizuri baada ya mkutano mnakua mmewapa sababu ya kutowachagua kutokana na kutoridhishwa na sera/maelezo yenu.

Sasa matokeo ya kuamini kujaza watu kwenye mikutano ni kuungwa mkono au ni kielelezo cha ushindi kwenye uchaguzi, ndicho kinachopelekea kuamini kuwa mnaibiwaga kura kwenye uchaguzi baada ya kushindwa.

Narudia kusema bahati mbaya sana hatujifunzi kutokana na chaguzi za nyuma hususan Uchaguzi Mkuu wa 2015. Hakuna mtu aliekua anajaza watu kwenye mikutano kama Lowassa. Lakini kumbe watu wale walikua kwenye miji mikubwa tu kama Arusha, Mwanza, Dar n.k. ambao wengi wao siyo wapiga kura. Tukawasahau watu wa vijijini ambao ndo wengi zaidi na ndiyo wanaopiga kura. Matokeo yake mgombea wetu akawa anapita maeneo yale yale anayoona anaungwa mkono tena kwa kutumia helicopter wakati mwenzie alikua anapita kijiji kwa kijiji pamoja na vitongoji vyake kwa kutumia barabara ili kuwafikia watu wengi zaidi. Matokeo yake tunayajua, tukaishia kusema tumeibiwa kura.

Nimalizie kusema, kujaza watu kwenye mikutano kuchukuliwe kama fursa kwa chama kunadi sera zake na kuwabadilisha watu fikra ili kiweze kuungwa mkono zaidi badala ya kuchukuliwa kama kielelezo cha kushinda uchaguzi. Tukibadilisha mentality hii, itatusaidia kuacha kulalamika na kubweteka tukidhani tunaungwa mkono sana au tuna wafuasi wengi sana, na badala yake tutakuja na mbinu bora zaidi za kushinda uchaguzi otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji na walalamikaji.

Aisee, sidhani kama watakuelewa.
 
Back
Top Bottom