nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
Habari JF,
Jamani si uchoyo wala roho mbaya, ila kwa wale wanaokaa na ndugu mnaweza nielewa.
Leo mdogo wa mke wangu kanikera sana.. Ana kama siku tatu hivi tangu atoke kijijini.
Nimenunua mkate kwa ajili ya familia nzima, yeye kakaa akicheki movie sebureni kala mkate mzima na chai kanywa karibia yote kwenye chupa! House girl kumuuliza anajibu alizani katengewa yeye..
Kaniharibia bajeti... sana.. Maisha yenyewe ndo kama mnavyojua!
Kwa hasira nimemwambia mke wangu amwambie ajiaandae baada ya siku tatu anarudi home. Nimekosea ila anisamehe bure.