Kwa ulaji huu, wife mwambie mdogo wako(shemeji) arudi kijijini

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Habari JF,

Jamani si uchoyo wala roho mbaya, ila kwa wale wanaokaa na ndugu mnaweza nielewa.

Leo mdogo wa mke wangu kanikera sana.. Ana kama siku tatu hivi tangu atoke kijijini.
Nimenunua mkate kwa ajili ya familia nzima, yeye kakaa akicheki movie sebureni kala mkate mzima na chai kanywa karibia yote kwenye chupa! House girl kumuuliza anajibu alizani katengewa yeye..

Kaniharibia bajeti... sana.. Maisha yenyewe ndo kama mnavyojua!

Kwa hasira nimemwambia mke wangu amwambie ajiaandae baada ya siku tatu anarudi home. Nimekosea ila anisamehe bure.
 
Wengine wanaweza wasikuelewe ila mie nakuelewa mkuu, hali ya uchumi ya sasa ni balaa, hivyo lazima kila kitu kiende kwa bajeti, japo akiendelea kula hivyo baada ya muda kidogo ataacha atakula kama wenzie kawaida, ila kama uchumi wako hauruhusu na ataendelea kula hivyo, muache tu aende. La sivyo wife akae nae amueleweshe kuwa mikate sio kama mihogo ya kule kijijini, ajaribu kujicontrol. Pole mkuu maana najua hapo bajeti imeshake.
 
hujakosea,
 
  • Thanks
Reactions: iw8

We umenielewa vizuri aisee
 
Mkate mmoja ni jambo la kawaida sana kuumaliza, angekula ugali wa familia nzima peke yake (sijui kilo ngapi zinawatosha) na mboga yote hapo ungeonesha mashaka kidogo hata hivyo bado haikupi haki ya kumfukuza mtu kisa kula.

Mama yangu alikua anasema mtu akitoka kijijini mafuta mafuta na vitu kama hivyo ndiyo vinamzuzua ila akizoea anakua kawaida tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom