Kwani nafasi za Chadema zimejazwa na wagombea wa chama gani.Mlishangiria Ubinafsi
mkaona kama ACT itapata si chama cha Tanzania
leo mmeanza kulialia
hahaha nabado
mtulie dawa iwaingie
Dawa ya moto ni moto
Safi sana wabunge
Chadema wameambulia ZERO
Yaani Mimi nimeshangazwa na kufedheheshwa sana na jambo hili. Kwa kweli nilichokielewa ni kuwa kuna udhaifu kwenye kulinda maslahi ya nchi.No wonder kwanini Tanzania tunaendelea kuburuzwa na kutengwa kwenye EAC, kama tutaendelea kupeleka wawakilishi EALA kwa mihemko ya kisiasa, yaani unampeleka Fancy kutetea taifa kufanya lobbying mbele ya wanasheria nguli kutoka Kenya, Uganda unawaacha wanasheria wazoefu kina Taslima, Macha kwa vile tu ni wapinzani, unamwacha memba mzoefu Zainabu Kawawa? Unamwacha Wenje kwa vile tu chama chake hakikuleta mwanamke? Unamwacha Makongoro aliyefanya lobbying hadi bomba la mafuta toka Uganda likapita Tanzania? Kweli?
Kwenye suala la ku serve national interests wanaCCM wenzetu hebu tuwe serious kidogo tuondoe uvyama, kule hawaendi kuwakilisha CCM wala Chadema wanakwenda kuwakilisha nchi.
Wenzetu huko Wakenya kwa mfano when comes issue ya kutetea nchi yao wako very serious and strong wanaleta competent representatives ndio maana labda wana maendeleo kutuzidi, sidhani kwenye bunge kama hili huwa wanaleta vitoto vitoto vya kuuza sura kama tunavyofanya sisi, that is why may be Kenya is becoming the super power among member states of the community, wengine tutabaki kulialia tu Kenya wanautumia mlima Kilimanjaro wanachukua watalii wetu kumbe tatizo ni sisi hatuna watu wa ku-defend our national interests. Tubadilike.
Hakuna mtu au kikundi fulani chenye umiliki wa kutuwakilisha katika EALA!hiyo ndiyo demokrasia!No wonder kwanini Tanzania tunaendelea kuburuzwa na kutengwa kwenye EAC, kama tutaendelea kupeleka wawakilishi EALA kwa mihemko ya kisiasa, yaani unampeleka Fancy kutetea taifa kufanya lobbying mbele ya wanasheria nguli kutoka Kenya, Uganda unawaacha wanasheria wazoefu kina Taslima, Macha kwa vile tu ni wapinzani, unamwacha memba mzoefu Zainabu Kawawa? Unamwacha Wenje kwa vile tu chama chake hakikuleta mwanamke? Unamwacha Makongoro aliyefanya lobbying hadi bomba la mafuta toka Uganda likapita Tanzania? Kweli?
Kwenye suala la ku serve national interests wanaCCM wenzetu hebu tuwe serious kidogo tuondoe uvyama, kule hawaendi kuwakilisha CCM wala Chadema wanakwenda kuwakilisha nchi.
Wenzetu huko Wakenya kwa mfano when comes issue ya kutetea nchi yao wako very serious and strong wanaleta competent representatives ndio maana labda wana maendeleo kutuzidi, sidhani kwenye bunge kama hili huwa wanaleta vitoto vitoto vya kuuza sura kama tunavyofanya sisi, that is why may be Kenya is becoming the super power among member states of the community, wengine tutabaki kulialia tu Kenya wanautumia mlima Kilimanjaro wanachukua watalii wetu kumbe tatizo ni sisi hatuna watu wa ku-defend our national interests. Tubadilike.
Chuki binafsi!kwa nini we we hukujitokeza?Mnyaa hakustahili kuchaguliwa. Taslima yuko vizuri kisiasa, hivi kweli Mnyaa Engineer ana uwakilishi gani kwa EAC paliposheheneni Wanasheria nguli Na Business professionals? English yenyewe 13%.
KWangu mimi, hu ni uzi wa mwezi na in fact naweza sema hu ni uzi wa maana No 1 kwa robo ya kwanza wa mwaka 2017. Kwa CCM ni bora Tanzania iangamie but ccm ibaki. Well said brother.No wonder kwanini Tanzania tunaendelea kuburuzwa na kutengwa kwenye EAC, kama tutaendelea kupeleka wawakilishi EALA kwa mihemko ya kisiasa, yaani unampeleka Fancy kutetea taifa kufanya lobbying mbele ya wanasheria nguli kutoka Kenya, Uganda unawaacha wanasheria wazoefu kina Taslima, Macha kwa vile tu ni wapinzani, unamwacha memba mzoefu Zainabu Kawawa? Unamwacha Wenje kwa vile tu chama chake hakikuleta mwanamke? Unamwacha Makongoro aliyefanya lobbying hadi bomba la mafuta toka Uganda likapita Tanzania? Kweli?
Kwenye suala la ku serve national interests wanaCCM wenzetu hebu tuwe serious kidogo tuondoe uvyama, kule hawaendi kuwakilisha CCM wala Chadema wanakwenda kuwakilisha nchi.
Wenzetu huko Wakenya kwa mfano when comes issue ya kutetea nchi yao wako very serious and strong wanaleta competent representatives ndio maana labda wana maendeleo kutuzidi, sidhani kwenye bunge kama hili huwa wanaleta vitoto vitoto vya kuuza sura kama tunavyofanya sisi, that is why may be Kenya is becoming the super power among member states of the community, wengine tutabaki kulialia tu Kenya wanautumia mlima Kilimanjaro wanachukua watalii wetu kumbe tatizo ni sisi hatuna watu wa ku-defend our national interests. Tubadilike.
Watu waache ushabiki jamani. Wenje hana uwezo, na watu wajifunze kutofautisha kupiga kelele na uwezo. Wenje ni mpiga kelele. Hana tofauti na yule MachaliWenje hata Mimi simkubali,Masha ni sawa.Wenje huenda anafiti siasa za kitanzania tu!
Tumia akili kidogo tu then utagundua ACT haikufanyiwa fitina bali kanuni ndio zilizo wakataa! Wanae mbunge 1 tu so wamekosa sifa, basi.Mlishangiria Ubinafsi
mkaona kama ACT itapata si chama cha Tanzania
leo mmeanza kulialia
hahaha nabado
mtulie dawa iwaingie
Dawa ya moto ni moto
Safi sana wabunge
Chadema wameambulia ZERO
Ndio maana najiuliza inakuwaje tunawatoa waliofanikisha bomba lipite Tanzania kina Taslima, kina Makongoro, kina Kawawa tunampeleka mtu aliyesomea usecretary ku negotiate ushuru wa forodha.Hao kenya unaowasifia mbona bomba la halikupita kwao?.....Acha mbwembwe!...
Akina wenje si walikua wanongoza wenzie ili wa toke bungeni?
Akitikea Chadema atasimama ???HAKUNA WA KUSIMAMA N'A WAKENYA AU WARWANDA HUKO SANA SANA WATAPAKULIWAAA TU---- HUKO...
OVYOOO KBSA
OVA
ACT tawi LA CCM , ajabu nini hapo?Nimekuelewa una maanisha wabunge wa CCM wangeiga mfano wa JPM ambaye kamteua Prof Mkumbo wa ACT kuwa Katibu Mkuu.
chama cha kina bashite ni shidaNdio mkuu, wabunge wa CCM wangekuwa na mantiki kama kina Macha na Wenje wangekuwa wanakwenda kufanya kampeni ya Chadema lakini wanakwenda kutetea mlima Kilimanjaro usitumike hovyo, kulinda heshima ya Mtanzania awe Chadema au CCM, kutetea aridhi isitumiwe hovyo na wageni. Sasa unapopeleka mtu ambaye hata kujieleza hawezi unamkomoa nani.
Si kweli hata kidogo kijana, acha kukalili kila kitu.....hakuna jambo linaloweza kukubaliwa bila nchi husika na wataalamu wake kuafiki. Si wabunge tu.Depends on the area you are serving, but when comes to negotiation table of different contracts like EAC Treaty knowledge of law matters a lot.