Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9 kwa mchepuo wa PCB. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu ni kusoma MD.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu ni kusoma MD.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?