Kwa ufaulu huu, degree ya Accounting naiweza?

Ma BOBO

Member
Jul 11, 2021
57
90
Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 saizi nipo semi ya mwisho natamani nimalize niunganishe ila nawaza kutokana na maneno ninayosikia.
 
Una akili timamu yan unaish ukisikiliza maneno ya watu elimu yako haikusadii

Akuna kitu kigumu ugumu unakuja kwenye akili yako iyo account unayosem ngumu Wana graduate ma elfu ya watu je wa engineer, medicine na architecture wasemaje
 
Kwahiyi mkuu unataka ukasome ACOUNT YA DEGREE.... safi sana kaza buti
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 saizi nipo semi ya mwisho natamani nimalize niunganishe ila nawaza kutokana na maneno ninayosikia.
Soma umalize level hiyo kwanza. Ukimaliza unganisha chuo kikuu kusoma degree ya Accounting. Everything is possible.
 
Ni Nchini Afghanstan pekee kuliko na vyuo vyenye ku~award degree ya ACCOUNT zamia mkuu Mungu awe nawe
 
Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 saizi nipo semi ya mwisho natamani nimalize niunganishe ila nawaza kutokana na maneno ninayosikia.

Kazana mkuu, penye nia pana njia. Hayo maji ushayavulia nguo we yaoge tu,
Kila lakheri🙏
 
Back
Top Bottom