Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

Kaka sikupingi! Mpaka sasa simba wanaongoza goli 2 half time..kuna beki wa kaizer atajifunga,kuna penati ya miquiosone ataangushwa..na goli la dakika za nyongeza..pia kuna red card imeonekana! Watu wako kazini...
 
Hua sikuamini Ila muda mwingine nakuamini mfano ile mechi ya nkana dsm ukisema nyota ya mkude inang'aa kweli ck ile alicheza vizur na alifunga goli. Tunachotaka mashabiki ni ushindi tu
 
Kesho Kaizer Chiefs watakuwa wazito uwanjani kama wamefungiwa mifuko ya simenti miguuni.

Na bado hawatakupiga on targets chache sana zisizo na madhara, na offs targets nyingi za hatari.Mnamkumbuka yule mchezaji wa Plateau (kama siyo Platinum) aliyekosa goli la wazi,ambalo hata Jokate Mwegelo angeweza kufunga, na jamaa akajishangaa sana kwa kukosa namna ile?Mnakumbuka vizuri? NA KESHO ITAKUWA HIVYO HIVYO.

Kaizer Chiefs out on aggregate.
 
Natanguliza acknowledgement yangu kwako Mkuu GENTAMYCINE. Sitaki nifanye hivi baada ya mechi kama ambavyo wengi wanasubiri kufanya.

Mara nyingi umekuwa unatupia threads za aina hii na 90% zikawa hivyo. Wale ambao wameanza kukufatilia jana ndo watabaki na mashaka ya hiki ulichokisema.

Pale uliposema SIMBA ITASHINDA,mara nyingi ILISHINDA na uliposema SIMBA ITAFUNGWA/MAMBO MAGUMU MNO,mara nyingi ILIFUNGWA au KUDROO.Labda niwakumbushe wafatilie nyuzi zako zilizopita (na hili si jukumu langu):

1.Simba vs Nkana
2.Simba vs Al Ahly (game zote)

3.Simba vs TP Mazembe (ile waliyoshukia uwanja wa ndege wa Songwe).

4.Mechi nyingi za CAF CL.

5.Mechi za hivi karibuni za Simba vs Yanga (ila kuna moja ulichemsha ile ya goli la Morrison akiwa Yanga).

6.Prisons vs Simba -musimu huu (ambayo Simba alipigwa)

7.Simba vs JKT - musimu huu (Simba ilipigwa kama siyo kudroo).

8.Decisive goals za Fei Toto na Farid Musa wakiwa na Taifa Stars CHAN.

9.Na tabiri nyingine kibao...

Subiri uone wanaokupondea leo watakavyokupa kongole kesho, au wakiona aibu watakula buyu tu.
 
Kaka sikupingi! Mpaka sasa simba wanaongoza goli 2 half time..kuna beki wa kaizer atajifunga,kuna penati ya miquiosone ataangushwa..na goli la dakika za nyongeza..pia kuna red card imeonekana! Watu wako kazini...
Nimeambiwa mpaka hivi sasa ( Saa 4 hii ya Usiku huu ) kuna Goli 3 ziko tayari ila ili Goli la 4 na mpaka la 5 lipatikane basi kati ya Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Msemaji Haji Manara Mmoja aamue Kufa ( Kufariki ) na hakuna aliyekubali kwa kusema kuwa hata Wao pia Maisha wanayapenda vile vile.

Cc: My Son drink water
 
Mikia wa Simba wataamini hii

Aisee wewe jamaa punguza uongo
Yaani hadi nimecheka kwa sauti
 
SIMBA KESHO AKISHINDA NA KUFUZU NITAWEKA HAPA REAL NAME, VYETI VYANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAHALI NINAPOISHI, NITATOA MSHAHARA WANGU WA MWEZI HUU NA KUWANUNULIA TIMU YA SIMBA KWA WIKI NZIMA.

MATOKEO RASMI YA GAME YA KESHO
SIMBA 2 - 3 KAIZER CHIEFS
Kwa nilivyoiangalia hii mechi kwa jicho la kiufundi (maana uchawi haupo ktk soka)
SIMBA ITAANZA KWA MPIRA WA KASI SANA DK 10 ZA MWANZO NA NDANI YA DK HZO kutokana na presha yao KAIZER CHIEFS WATAPATA BAO LA KUONGOZA hali itakayopelekea Simba kuchanganyikiwa na kupigwa la pili dk chache mbele. Lkn matokeo ya mwisho simba atafungwa 3 - 2
utawanunulia nini? mbona humalizii
 
Aisee wewe jamaa punguza uongo
Yaani hadi nimecheka kwa sauti
Mashabiki wa Simba SC ndiyo wanataka ' Propaganda ' ya aina hii ( hiyo ) Mkuu na ukiwaambia Ukweli na Uhalisia kuwa Simba SC ' Kiufundi ' haiwezi ' Kupindua ' matokeo hawataki Kukubali hivyo nami kwa ' Kuwasanifu ' nawapeleka hivyo hivyo wanavyotaka Wao na kweli wengi wao hapa wamejaa ' upepo ' kwa Kuamini ( Kuniamini ) mno huku Mimi nikiwacheka tu na Kuwadharau vile vile.
 
Back
Top Bottom