Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

Tume iwe huru na katiba mpya iwepo mezani kabla ya uchaguzi. Hao wabunge wenu wanaopita bila kupingwa hawana ushawishi kwa wananchi.
Wakimbizi hawawezi kuwa na ushawishi, jipangeni vizuri, tunahitaji upinzani thabiti kwa maendeleo ya nchi. Hata katiba ikibadilishwa bado chadema kinahitaji kujipanga
 
Tunawatu wajinga saaana...kwahivyo uwanja huo kujengwa ndiyo tumemaliza matatizo?? Kwa mawazo haya kama we si under 14 basi pole kwa kudumaa
 
Tunawatu wajinga saaana...kwahivyo uwanja huo kujengwa ndiyo tumemaliza matatizo?? Kwa mawazo haya kama we si under 14 basi pole kwa kudumaa
Kama ambavyo wanamwambia mtu wa Handeni Kwamnele mwenye dhiki ya maji Dawasa ilivyofanikiwa kusambaza maji Dar au wanavyojenga barabara, na kujenga fly-overs kwa mtu wa Mahenge anayenusurika kuliwa na mamba kwenye mto!!!
 
Back
Top Bottom