Elections 2010 Kwa uchakachuaji huu tume -nec ya ccm ing'oke haitufai, wajiuzulu kabla hatujawafuta

DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
57
Watanzania wenzangu, Tanzania hatuna viongozi bali tuna wezi wabakaji wa demokrasia, Mafisadi, Madhulumati, Wanyonyaji, Wasio kuwa na chembe ya Uzalendo na nchi yao. Mkuu pls check hizi data the utuambie kama zinaingia akilini:-
1. watanzania tuko 50,000,000 +
2. Wenye kustahili kupiga kura tuko takriban 30,000,000 +,
3. Walioandikishwa kwa mujibu wa NEC - CCM walikuwa 20,000,000 +
4. Walio piga kura kwa mujibu wa NEC- CCM 9,000,000 + (wakimbizi wakiwemo)
5. Mshindi JK Mwenye kuteua NEC - CCM ameshinda kwa kura 5,000,000 +(Hapo ni baada ya kazi ya ziada AKA kuchakachua ambapo kada mmoja alikuwa anapiga kura tisa tisa!)

6. Watanzania takriban 11,000,000 + shahada zao zilinunuliwa kwa fedha zetu wenyewe ili wasipige kura.
7. Muda wa watu kujiandikisha ulikuwa mdogo na haukutangazwa ipasavyo strategically
8. Vijana wengi walio ajiriwa serikalini walipata uhamisho ili wasiweze kupiga kura
9. Wanafunzi walizuiliwa kupiga kura
10. Wakurugenzi ambao walikuwa wasimamizi wakishirikiana na vyombo vya usalama walitumika kikamilifu kuchakachua ( ushahidi wa electronics upo)

Angalizo: Kati ya Watanzania million 50 NEC - CCM wamesema JK ni Kiongozi wa watanzania million 5 ambao wanapenda ufukara, umaskini, wasio penda:- nyumba nzuri, elimu bora, huduma bora za kijamii... now Mjj Hawa watanzania wasiopenda maisha bora bali bora maisha wapo? AMA zao ama zetu ... NI KWASABABU HIZO HAPO JUU NA MENGINE MENGI NAWAOMBA MAKAME, KIRAVU,MAKAME NA MAKAMISHINA WOTE WANG'OKE HAWATUFAI WANATUANGAMIZA WANATUPELEKA PABAYA, HATUWATAKI KABISA NI WANYONGAJI
 
Back
Top Bottom