Kwa uchafu huu kinondoni tutapona kweli

Dec 22, 2017
51
18
Hali ni mbaya sana ya uchafu katika baadhi ya maeneo yetu ya manspaa ya kindoni Dar es salaam:
Kufatia Agizo la manspaa kutaka makusanyo yote ya wakazi yapitie uko kwao ivyo wakandarasi wote wamegoma kuzoa taka mpaka utaratibu wao wa zamani uendelee. Wa kati wowote kuanzia sasa kutalipuka ugonjwa hatari wa kipindu pindu, tunaiomba serikali kuu itusaidie sisi wakazi wa manispaa ya kinondoni.
 
Attachments

  • FB_IMG_1546022682313.jpg
    FB_IMG_1546022682313.jpg
    92.1 KB · Views: 48
Hali ni mbaya sana ya uchafu katika baadhi ya maeneo yetu ya manspaa ya kindoni Dar es salaam:
Kufatia Agizo la manspaa kutaka makusanyo yote ya wakazi yapitie uko kwao ivyo wakandarasi wote wamegoma kuzoa taka mpaka utaratibu wao wa zamani uendelee. Wa kati wowote kuanzia sasa kutalipuka ugonjwa hatari wa kipindu pindu, tunaiomba serikali kuu itusaidie sisi wakazi wa manispaa ya kinondoni.

Yule RC aliyejipambanua kuwa atatakatusha jiji yu wapi!?
 
Siasa za bei rahisi zimeshaingizwa kwenye hilo suala la usafi hivyo tegemeeni maumivu.
 
Pamoja na mbunge wenu kuunga mkono juhudi bado mnali lia.
#Usafihaunachama
 
Back
Top Bottom