Suleiman hatibu
Member
- Dec 22, 2017
- 51
- 18
Hali ni mbaya sana ya uchafu katika baadhi ya maeneo yetu ya manspaa ya kindoni Dar es salaam:
Kufatia Agizo la manspaa kutaka makusanyo yote ya wakazi yapitie uko kwao ivyo wakandarasi wote wamegoma kuzoa taka mpaka utaratibu wao wa zamani uendelee. Wa kati wowote kuanzia sasa kutalipuka ugonjwa hatari wa kipindu pindu, tunaiomba serikali kuu itusaidie sisi wakazi wa manispaa ya kinondoni.