Kwa uamuzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi

Hio "BAN" aliopewa DAB sio kama za humu JamiiForums baada ya mwezi unaachiwa lockup, "BAN" za kiranja mkuu (Mmarekani) hua hazina "EXPIRE DATE" na zinaambatana na "BONUS" (Kapigwa ban yeye, bonus ikaongezwa na familia yake ambayo hawahusiki kwa matendo yake).

Halafu kiranja akishakupiga kibao, hua anakaa kimya kuangalia kama kuna atakae chongoa mdomo wake. Ili kama vipi atume "DRONE" moja ijekuweka heshima.

View attachment 1355755

Imeandikwa wapi?
 
NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA

Pole Paul Makonda!

Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi katika nchi yoyote ya Ulaya. (Nitafafanua).

Wakati wa matamko ya mataifa makubwa duniani kuhusu kuteteleka kwa haki za binadamu na demokrasia nchini kwetu nilitaadharisha kwamba sisi hatuna ubavu hata kidogo wa kutunishiana kifua na Marekani. Kama kawaida team KUSIFIA walikuja juu kwamba sisi ni nchi huru na hatupangiwi cha kufanya na nchi yoyote.

Sasa Makonda yamemkuta! Nimesema hapo juu nafasi ambazo hawezi kuzigusa tokana na uamzi huu wa Marekani.

Makonda hawezi kuwa rais tena kwa sababu huwezi kuwa na rais wa nchi asiyeweza kukanyaga New York (Umoja wa Mataifa) kwa sababu New York ni ardhi ya Marekani.

Makonda hawezi kuwa Waziri Mkuu kwa sababu huwezi kuwa na Waziri Mkuu asiyeweza kufika Umoja wa Mataifa. Wala huwezi kuwa na waziri wa mambo ya nje asiyefika Umoja wa mataifa. Lakini pia hawezi kuwa balozi kwenye nchi yoyote inayofuata misingi ya kidemokrasia hasa nchi za Ulaya.

Makonda pia hajapona kupelekwa mahakama ya kimataifa ya haki za binadamu ikiwa Marekani wakiamua kupeleka ushaidi wanaosema wanao.

Hii issue siyo ndogo kama watu wanavyojaribu kubeza kwa kutumia cheap propaganda. Kwa Afrika mashariki ni watu watatu tu wamechukuliwa hatua kama hizo. Mkuu wa polisi wa zamani wa Uganda Kale Kaihula na mwanasheria mkuu wa zamani wa Kenya Amos Wako. Lakini hawa wawili wana nafuu kwa sababu tuhuma zao ni za ufisadi na siyo ukiukaji wa haki za binadamu

From Edward Mpaka
Isikutie Shaka; hata Nyalandu naye alikuwa kwenye wantedi List ya FBI kwa makosa kumbaka mwanafunzi wa kutoka Namibia ambaye walikuwa chuo kimoja kule Iowa. Alipoteuliwa kuwa waziri tu, basi akawa na diplomatic pass hivyo FBI ikaachana naye. Ndiyo maana baadaye alikwenda tena kiserikali kutangaza utalii akiwa na Aunt Ezekiel na wala hakufanyiwa lolote. Wamarekani wanajua kula na kipofu bila kumgusa mkono.
 
NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA

Pole Paul Makonda!

Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi katika nchi yoyote ya Ulaya. (Nitafafanua).

Wakati wa matamko ya mataifa makubwa duniani kuhusu kuteteleka kwa haki za binadamu na demokrasia nchini kwetu nilitaadharisha kwamba sisi hatuna ubavu hata kidogo wa kutunishiana kifua na Marekani. Kama kawaida team KUSIFIA walikuja juu kwamba sisi ni nchi huru na hatupangiwi cha kufanya na nchi yoyote.

Sasa Makonda yamemkuta! Nimesema hapo juu nafasi ambazo hawezi kuzigusa tokana na uamzi huu wa Marekani.

Makonda hawezi kuwa rais tena kwa sababu huwezi kuwa na rais wa nchi asiyeweza kukanyaga New York (Umoja wa Mataifa) kwa sababu New York ni ardhi ya Marekani.

Makonda hawezi kuwa Waziri Mkuu kwa sababu huwezi kuwa na Waziri Mkuu asiyeweza kufika Umoja wa Mataifa. Wala huwezi kuwa na waziri wa mambo ya nje asiyefika Umoja wa mataifa. Lakini pia hawezi kuwa balozi kwenye nchi yoyote inayofuata misingi ya kidemokrasia hasa nchi za Ulaya.

Makonda pia hajapona kupelekwa mahakama ya kimataifa ya haki za binadamu ikiwa Marekani wakiamua kupeleka ushaidi wanaosema wanao.

Hii issue siyo ndogo kama watu wanavyojaribu kubeza kwa kutumia cheap propaganda. Kwa Afrika mashariki ni watu watatu tu wamechukuliwa hatua kama hizo. Mkuu wa polisi wa zamani wa Uganda Kale Kaihula na mwanasheria mkuu wa zamani wa Kenya Amos Wako. Lakini hawa wawili wana nafuu kwa sababu tuhuma zao ni za ufisadi na siyo ukiukaji wa haki za binadamu

From Edward Mpaka
Siuoni ukweli wa maneno yako. Mugabe alizuiwa lakini Umoja wa mataifa alifika na kuhutubia. Eneo like ni maalum si hodhio la marekani.
 
Na wewe mtoa mada una akili mgando. Yaani mtu mwenye vyeti vya kufoji umewahi kumfikiria kuwa anaweza kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania? Kweli Magufuli amefanya U-Rais wa Tanzania uonekane kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom