Kwa tunaomjua Bashiru Ali, tumebaki na butwaa

Kuna muandishi mmoja nguli wa kutoka Peru, anaitwa Mario Vargas Llosa, alielezea siasa, na jinsi watu wanavyobadilishwa na siasa, vizuri sana.

Quote from Mario Vargas Llosa.

Nobel Laureate in Literature 2010.

Peruvian Presidential Candidate 1990.

On his experience transitioning from literature to politics.

"Now that I had become involved, I made a depressing discovery in these tripartite meetings: that real politics, not the kind that one reads and writes about, thinks about and imagines (the only sort I was acquainted with), but politics as lived and practiced day by day, has little to do with ideas, values, and imagination, with ideological visions—the ideal society we would like to create—and, to put it bluntly, little to do with generosity, solidarity, and idealism. It consists almost exclusively of maneuvers, intrigues, plots, paranoias, betrayals, a great deal of calculation, no little cynicism, and every variety of con game. Because what really gets the professional politician, whether of the center, the left, or the right, moving, what excites him and keeps him going is power, attaining it, remaining in it, or returning to it as soon as possible.

There are exceptions, of course, but they are just that: exceptions. Many politicians begin their careers impelled by altruistic sentiments—changing society, attaining justice, fostering development, bringing morality into public life. But along the way, in the petty, pedestrian practice of day-to-day politics, these fine objectives become, little by little, mere clichés of the speeches and statements of the public persona that they acquire, which in the end makes them all but indistinguishable from each other. What prevails in politicians, finally, is the gross and sometimes immeasurable appetite for power.

Anyone who is not capable of feeling this obsessive, almost physical attraction to power finds it nearly impossible to be a successful politician."

- Mario Vargas Llosa, "A Fish In The Water".
 
Kwa hiyo tuseme 'Bashiru' hana tofauti yoyote na akina Halima Mdee, Ester Matiko, Ester Bulaya, Kabuti Kalamaganda na wengi wengine?

Ukitaka kupata jibu kuhusu kinachowapata wote hawa ni lazima umchambue kwa ndani zaidi anayewafanya wabadilike kiasi hiki cha kushangaza. Mtu asiyekuwa na ushawishi wowote ule wa kueleweka, lakini anawabadilisha watu waliojijengea heshima hadi kumtolea mfano wa Mwalimu Nyerere?
Tafuta jibu hapo nilipokueleza ulitafute, utalipata. Si vibaya hata ukiwaendea akina Lowassa, Sumaye na wengineo, wanaweza kukusaidia katika kupata jibu lako.

Ni watu wachache tu, kama Mbowe ndio pekee wameweza kuhimiri vishawishi vya aina mbalimbali wasiangukie kwenye njama anazotumia huyo mtu anayewabadilisha kutoka kuwa watu wenye fikra na kuwafanya kuwa mashetani.
Nimekuelewa.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Msiumize vichwa na akili zenu kumjadili Bashiru na maamuzi yake. Miaka ya nyuma walikuwepo kina Dr Mwakyembe, kama alivyo Bw Kabudi leo ambao walikuwa wakimkosoa Bwana Nyerere pale chuo kikuu hadi unaogopa na damu inasisimka. mmoja baada ya mwingine alipoingia kwenye siasa, na mitazamo inabadilika maana kwenye siasa kuna miiko yake na kwenye taaluma kuna miiko yake. Bashiru ni mtaalalam anaijua siasa vizuri maana ameisoma siasa na kuifanyia uchambuzi miaka mingi. Cha msingi ni kumtakia heri, atumie ushawishi wake kusaidia kuimarisha yale yanayowasaidia wanyonge Tanzania na sio mizozo ya ndani ya vyama inayotishia kutondoa kwenye focus ambayo ni kuwapa Watz ustawi wanaostahili.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Bashiru wa Political Science UDSM ni tofauti na Bashiru wa CCM.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Inaelekea mheshimiwa ni bendera fuata upepo! Enzi hizo, aliyecuna kisiasa ni Nyerere, basi akajitanabaisha naye. Zama hizi anaenda na matakwa ya aliyeshika mpini.
 
Maajabu haya! Slowslow na Bashiru wote mama moja. Gizani wanajisuta ila penye mwanga lazima watii kwa ajili ya mjaa!!
 
Mkuu ubinafsi na tamaa vinazaliwa na njaa mkuu uwezi kuwa na tamaa Kama hauna njaa angalia viongOzi wa ulaya wanajiuzuru sababu hawana njaa lakini hawa black mamba wetu mpaka wafe ni kubadili vitengo tu.

Thus mbowe hayumbishwi sababu hana njaa
 
Watanzania tuna Utamaduni wetu wa KUTOKUONGEA tukiwa mezani tunakula.
Tusubirie baada ya Msosi
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'

Hivi Ni wewe mkuu tuliosoma wote . Mwanamama jasiri. Bado unaendeleza ujasiri wako. Wewe Ni mmoja wa wanawake jabali kabisa kupata kutokea Tz. Mwanamama mwenye maono. Unaoteshwa na kinakuwa kweli. Ni hadimu sana kupatikana mtu kama wewe. Na Sasa umeoteshwa kuhusu dr Bashiru. Mungu atupe nini. Mimi nimeota pia wewe ndo Mwenyekiti Mpya wa Bawacha. Il Shida mi ndoto zangu haziwagi kweli. Nipo hapa nasoma kitabu cha sheria ya natural law.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Njaa na unafiki umesababisha hayo!
 
Back
Top Bottom