Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
wengi wetu tuna amini kuwa kusoma ndio njia pekee ya kuondoa matatizo yanayotukabiri lakini Mimi Leo nakataa kwa tulipofikia kusoma hakuwezi kukuondolea matatizo yalko Bali kutakuongezea mawazo/stress tu na kuona kama umetengwa,
Leo ukimuangalia mtu aliyesoma na Yule ambaye ajasoma basi utagundu asie soma anakuwa na furaha hakiendesha maisha yake na familia lakini kwa upande wa alie soma utamuona akiwa amechanganyikiwa kutwa anajificha chumbani kuona aibu kutwa ni mtu wa kupiga mizinga khaa yani usomi bongo umekuwa mate so kutwa ni stress tu, kutwa kutembea na vibahasha tu, kutwa unyonge na hofu ya kukata tamaa usomi bongo ni mateso wasio soma wanafurai sana, msomi anawaza hatalipa vipi deni la bodi ya mikopo, msomi ukijichanganya kwenye kubeba zege khaa utasemwa na kusakamwa khaa usomi bongo ni mzigo wasomi tunachelewa kuoa khaa usomi ni mawazo tu
WAPI TUNAKOSEA WASOMI WA BONGO
1:Wengi tunamaliza chuo tukiwa watupu ivyo tunakimbia kazi
2:Tunatenga jamii yetu kwa kuwaona awaja elimika maringo mengi,mtaani hatuonekani hivyo tukimaliza chuo hata dili hatuzioni
3:Tunakosa ubunifu pia tunachukulia chuo kama sehemu ya kwenda kukua hivyo tunashindwa kuanza kufanya project tangu tukiwa chuo
Nb:usomi bongo ni zigo la mawazo,unawaza lini utaajiriwa,unawaza usaili,unawaza kukatwa na bodi ya mikopo