Kwa tuliowahi toa msaada wa hiyari na ukatutokea puani tukutane hapa

Nina bahati mbaya Moja kubwa ya Kimaisha na yawezekana Mwenyezi Mungu ana Makusudi yake. Kwanza kanijalia sana Huruma ( japo pia nina Hasira Kali mno nikiudhiwa ) ila karibia 99% ya Watu niliojitolea Kuwasaidia na wengi wao leo hii wana Maisha ya Juu ( Pesa na Utajiri ) ndiyo wanaongoza kwa Kunidharau, Kuniharibia na Kukucheka Umasikini wangu. Ila najishangaa pamoja na Kuendelea Kufanyiwa hivi na wale niliowasaidia na kuwatoa Kimaisha bado tu huwa nakuwa na Huruma na Moyo wa Kuwasaidia Watu ( Ndugu na Marafiki ) na huwa nikiona Wamefanikiwa nakuwa na Amani ya Moyo na Furaha Kubwa. Mwenyezi Mungu una Kusudi gani na Mimi na kwanini Umenipa hii Huruma ambayo ndiyo inaniangamiza kwa wale ninaojitolea nguvu zangu na muda wangu Kuwapigania ( Kuwasaidia ) Kimaisha?
 
Watakao faidika na kindness yAko ni kizazi chako
 
Upo km mm kuna muda nawaza nakosa majbu
 
Back
Top Bottom