Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa

********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********

Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.



Ushauri kwa waliooa Single Mothers
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0


Otherwise utachapiwa tu.

********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********
MUHIMU:MAADA HAIJALENGA SINGLE MAMA WOTE, NI BAADHI,

Katika vitu vinavyozidi kuharibu maadili ya mwafrika basi ni ushoga, Ushoga unachochewa na sababu nyingi sana na kila siku kunakuwa na vichochezi vipya vinavyopelekea mtu kuwa shoga, Moja ya vichocheo vipya navyohisi vinachochea mwanaume kuwa shoga ni malezi ya single maza japo ni baadhi

Kwa kiasi kikubwa kundi linalolengwa hapa ni hawa kizazi hiki kipya cha single mothers waliokulia mjini hususani yaani watoto wa mjini.

Mbaya zaidi siku hizi wanaume ni kama hawana sauti ofisi za ustawi wa Jamii kuhusu kulea mtoto pindi wakiachana na single mothers, na hali inaweza ikawa mbaya zaidi endapo ikawa ni mtoto wa kiume.

Malezi ya mtoto wa kiume kulelewa na mama pekee yanaweza kuanza kumfanya mtoto kuona kila kitu anachofanya mama yake ni sahihi kuanzia kuongea, kitembea na mavazi hususani ya kubana, Wa kumfundisha jinsi ya kuishi kama mwanaume anakuwa hayupo, matokeo yake kidogo kidogo anaweza kuanza kupiga mabusu wavulana wenzake ye akaona sawa tu maana anamuona sana mama anavyopigwa busu na rafiki zake au anavyojipiga selfie anavyoweka mapozi ya kubusu.

Pia wamama hawa wengi naona wanajali sana watoto wao hasa kwenye sweli la usafi na mavazi ila inaweza kuwa mbaya kwa mtoto, Wengi hutaka watoto wao wavae kama wasanii maana hawa ndio huonekana wanapendeza sana mbele ya macho ya wanawake wengi, unakuta mama anataka mtoto wake aonekane Hb anaanza kumpaka poda, kumfanyia kamake up aonekane kama kina Diamond, lipgloss na hata kuwatia dawa kwenye nywele, hiki kitu kinaweza kumuweka mtoto matatizo ni maana anaweza kuanza kujaribiwa kidogo kidogo na wenzake mfano pale anapokua ni mnene akavalishwa modo za kubana anaweza kumbana na watoto wenzake waliovurugwa,

Mtoto huwa anaathiriwa na tabia ya waliomzunguka na akilelewa na mama pekee kuna uwezekano wa kurithi vitabia vya kikike Vinavyowenza kumfanya aanze kuona ni kawaida kunengua kama mama yake, kuchamba wenzake kama mama ni mchambaji, kutembea n.k hali hii inaweza kupelekea ushoga.

Baba ni rahisi sana kufahamu mtoto anafanya upuuzi kuliko mama,. Mama anaweza kuwa mzuri kwe almost kila kitu ktk malezi zaidi ya baba ila akashimdwa kunotice jambo dogo sana linaloenda kuharibu maisha ya mtoto. Kwa wanaume tunapiga kikonzi ukisindikizia na Kofi pale mtoto wa kiume anapo leta swaga sizo za kubenjua benjua viuno,mikono na Mikao isiyo eleweka


Mama atampenda mtoto wake hata iweje,dingi humfunza mtoto descpln , maadili na majukumu. Nadahani ni wengi hapa tuliolelewa na baba tuna stori mbili tatu za vipigo vikali mno tulivyovipata vilivyoturudisha katika barabara kuu. Nakumbuka hata kuna msanii alifanyiwa intavyuu alisema mtoto hata awe jambazi mama atamficha ila baba ataita mapolisi kabisa afungwe ajifunze ili asije kuchomwa moto mtaani.

Kadri miaka inavyoenda mambo yanachanganya na inakuwa ngumu sana kurudisha nyuma tabia zilizogeuka tayari kuwa mazoea.

Kwa ushauri Wangu katika malezi mtoto wa kiume inabidi awe mazingira atayolelewa kwa umakini na baba ama ndugu wa kiume au hata bibi yake maana malezi ya bibi zetu waliofunzwa tamaduni za mwafrika uwa bora.

******** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!

Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
 
Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.

Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.

Wajibika Mama aishi.
 
Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.

Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.

Wajibika Mama aishi.
Mkuu single mamas ambao wamefiwa asilimia yao ndogo saaaaaana
 
Kila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
 
Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu
Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu
 
Back
Top Bottom