Kwa tulioamua tayari kura zetu zinakwenda wapi, kuna haja ya kuhudhuria kampeni?

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Wanamkeka:kuna watu wengi kama mimi ambao kura tayari tumeshaamua 2tapigia upande fulani iwe amewekwa mtu, ndege,gogo,au jiwe kama kwenye foleni za bvr.je kuna haja ya sisi kusikiliza na kufatilia kampeni au kazi yetu ni kubadilisha fikra za watu at least 10 kwa wale ambao hawajaamua ili kuongeza wachagua Mawe wengine, ni mawazo tu.
 
Mkuu, siasa ziletazo maendeleo ni kumsikiliza kila mgombea ana sera gani, kuzichambua na kuzipa uzito kisha kuamua umpigie nani. Achana na kuchagua mtu kwa sababu ya mkumbo tu au sabau yupo chama flani.
 
Kwani fisadi kikwete anagombea tena?

Hata Lowasa alimwita hivyo hivyo sasa mnasema ni malaika, kawanunuwa utu wenu kwa pesa, si unajuwa binaadam anaejiuza anaitwa nani?

Kikwete anamaliza muda wake kwa heshima na taadhima kubwa sana, kafanya kuliko yeyote wa kabla yake. Na hilo linawaumiza sana roho.
 
Hata Lowasa amlimwita hivyo hivyo sasa mnasema ni malaika, kawanunuwa utu wenu kwa pesa, si unajuwa binaadam anaejiuza anaitwa nani?

Bahati nzuri sijawahi kuwa na roho, kwahiyo siumii!
 
Hata Lowasa amlimwita hivyo hivyo sasa mnasema ni malaika, kawanunuwa utu wenu kwa pesa, si unajuwa binaadam anaejiuza anaitwa nani?

Kikwete anamaliza muda wake kwa heshima na taadhima kubwa sana, kafanya kuliko yeyote wa kabla yake. Na hilo linawaumiza sana roho.

Faiza ww unajua c hawa wanapost vitu kwa sbb wamejiunga jf humu juzi tu ebu wape somo kwanza
 
Hata Lowasa amlimwita hivyo hivyo sasa mnasema ni malaika, kawanunuwa utu wenu kwa pesa, si unajuwa binaadam anaejiuza anaitwa nani?

Kikwete anamaliza muda wake kwa heshima na taadhima kubwa sana, kafanya kuliko yeyote wa kabla yake. Na hilo linawaumiza sana roho.
Wacha weee :becky: ati!!!???
 
Mimi muwazi kura yangu si yamchezo mchezo
siwezi kuchezea maisha yangu kwa kuipatia ccm
kura yangu kwa edward ngoyai lowassa tu
 
Back
Top Bottom