Kwa tukio la mkutano wa Arusha, Kingunge ndio mgombea wa UKAWA?

Hiyo ya kushindwa kuongea na kufafanua sera ndo imeshusha kiwanga cha Lowasa, huwezi kutaka urais wakati kifafanua sera huwezi, ss anasema elimu bure lakini hafafanui pesa atatoa wapi, alafu mburula wachache wanamlinganisha na Obama, acheni ujinga huo, tena Lowasa ni nafuu mungemchukua Kingunge au Sumaye, nyie mliangalia pesa kwanza na si uwezo wake, hamkujua nn kilifanya ccm imteme, nyie mkamchukua, ss ndo mnaona ccm hawakufanya kosa kumtosa, ccm ingepata kazi kubwa sana kumnadi, hata chadema pia wamechoka kumnadi.

Hata kujienyea kumeshusha hadhi yake pia
 
Bla bla nyiiingi za Magufuli zinasaidia nini wakati tumeshaamua huu ni wakati wa kuitoa CCM madarani?.

Nini kipya anachoongea Magufuli zaidi ya kupiga na kupigisha watu PUSH UP! tuache mchezo!!
 
Hiyo ya kushindwa kuongea na kufafanua sera ndo imeshusha kiwanga cha Lowasa, huwezi kutaka urais wakati kifafanua sera huwezi, ss anasema elimu bure lakini hafafanui pesa atatoa wapi, alafu mburula wachache wanamlinganisha na Obama, acheni ujinga huo, tena Lowasa ni nafuu mungemchukua Kingunge au Sumaye, nyie mliangalia pesa kwanza na si uwezo wake, hamkujua nn kilifanya ccm imteme, nyie mkamchukua, ss ndo mnaona ccm hawakufanya kosa kumtosa, ccm ingepata kazi kubwa sana kumnadi, hata chadema pia wamechoka kumnadi.

Ni nani huyo anayesema pesa atakapozitoa? Au ni pombe? Ww akili yako ni tope na uozo mtupu!
 
Attachments

  • 1444381792960.jpg
    1444381792960.jpg
    63 KB · Views: 356
Rudia uzi wako pole pole kusoma halafu uondoe hayo makosa yako uliyoandika,maama unaonekana umepanic sanaa..Sasa utake usitake Lowasa ndio Raisi wako.

Kipaumbele cha Lowassa cha elimu kinamhusu sana,hutomkuta juha huyu akiandika bila kukuta spelling mistakes no wonders anaipenda CCM
 
Kwa watu ambao ni "mentally bloked" kama wewe; hata kama EL angeongea kwa masaa 6 bado msingeambulia chochote!! lakini kwa wanamabadiliko tunamuelewa sana. kuwapa wageni kama Kingunge muda mrefu wa kuzungumza ni chachandu kwenye mikutanoya UKAWA kwa ajili mabadiliko; huo ni mpango mkakati maalumu, Ujumbe ni ule ule lakini content na style ya delivery inakuwa varied kwa kuleta wazungumzaji tofauti tofauti ili kuondoa kitu kinaitwa "monotony" ambayo husababisha "Boredom" na kuifanya hadhara kuacha kumsikiliza mzungumzaji!

Hata Magambaz wanabadilisha taste kwa kuligeuza jukwaa la kampeni kuwa Fiesta au GYM!! au una maana wale wanaokwenda kwenye mikutano ya Magufuli wanakwenda kuangalia mazoezi ya viungo!??

Leo katika hali iliyowashangaza wengi na wengine kukaa kimia na kunongonanongona kwa chini, wameshangazwa na kitendo cha mzee kingunge kupewa nafasi kubwa na muda nwingi wa kuongea kwenye mkutano na mgombea mwenyewe ambaye ni lowasa kutumia dakika zisizozidi 7, na wengine kuondoka wakisema tumekuja kumsikiliza kingunge au lowasa?

Ujumbe kwa lowasa katika kipindi hiki cha mwisho ni hivi wanakuja wengi lakini baada ya mkutano wako unabaki na wachache,jipange,
 
Mie nilienda kwenye mkutano wa USA River kwa kweli sikuelewa alichokiongea Lowasa.
 
Mie nilienda kwenye mkutano wa USA River kwa kweli sikuelewa alichokiongea Lowasa.

Mzee yule amefikia hatua mbaya sana
maana anaongea maneno ambayo hayaelewek

Anaongea vitu ambavyo havpo kwenye sayari hii

Hio ligha sijawah kuiona yaaan
Mzee anaumwa nukta
 
Mzee yule amefikia hatua mbaya sana
maana anaongea maneno ambayo hayaelewek

Anaongea vitu ambavyo havpo kwenye sayari hii

Hio ligha sijawah kuiona yaaan
Mzee anaumwa nukta

Ndo maana mikutano yake yote ya kampeni tokea ameanza kufanya hutaona vijana wa BAVICHA wakipost video zenye hotuba humu jamvini
 
Kitendo cha jana Arusha kwenye mkutano wa kampain za UKAWA, Kingunge kupewa dakika 40 za kueleza sera na Lowassa kutumia dakika 7 kimewashangaza sana na kuzua kejeli leo kwenye baadhi ya vijiwe miongoni mwa watu na wengine kusema tulienda kumsikiliza Kingunge au Lowassa na wengine kusema utadhani mgombea ni Kingunge.

Hali hii imeacha watu wangi na maswali , nilichojifunza na huu ndo ujumbe kwa Lowassa, wanakuja wengi lakini unabaki na wachache
UKAWA hamko serious.
 
Angalau huyu anayetumia dk 7 ninaelewa ujumbe wake ila huyu anayegeuza jukwaa la siasa kuwa gym na jukwaa la mipasho kwa masaa zaidi ya mawili.... sera zake na ahadi zake lukuki sijaelewa hata moja zaidi ya kufurahia fiesta ya bure.
 
hahaha HIVI LOWASSA JANA SI ALIONGEA ZAIDI YA DK 30? We utakua na mimba ya LOWASSA SIO BURE UKIKAA BILA KUMTAJA HUSIKII UTAMU EEH?
VIVA UKAWA!!!
 
Lowassa hahitaji kutumia nguvu.. yaani dakika 7 pia nyingi mno. nadhani dakika moja inamtosha.. yaani apande jukwaani na kusema "makamanda mko poa??" kisha akasepa.. sisi ni sawa tu. Magufuli ni sawa ahutubie masaa manne hadi povu limtoke. Maana yeye bado anasaka kura, ilivyo ni kama yeye yuko upinzani vile.. hahaha!!
Kura itaenda kwa LOWASSA kwa kuichukia CCM.
 
hahaha HIVI LOWASSA JANA SI ALIONGEA ZAIDI YA DK 30? We utakua na mimba ya LOWASSA SIO BURE UKIKAA BILA KUMTAJA HUSIKII UTAMU EEH?
VIVA UKAWA!!!
 
Ati nini? Dakika 30?

Kwani muda mwingi anaotumia Magufuli kuhutubia kuna jipya gani? Mambo ni yaleyale kila siku. Nadhani sasa wawe wanapita wanaomba kura kisha wanasepa. Mie nimeshachoka kuwasikiliza hata sasa niko tayari kupiga kura.
 
hahaha HIVI LOWASSA JANA SI ALIONGEA ZAIDI YA DK 30? We utakua na mimba ya LOWASSA SIO BURE UKIKAA BILA KUMTAJA HUSIKII UTAMU EEH?
VIVA UKAWA!!!

Wakupime akili alianza kuongea SAA 11:36 akamaliza 11:43 ,kaa kimia kama unaishi humu wenzio tupo kwenye ground, kuongea DAKIKA 30, haijawai kutoka na haitatokea kwake daima,
 
Kwani muda mwingi anaotumia Magufuli kuhutubia kuna jipya gani? Mambo ni yaleyale kila siku. Nadhani sasa wawe wanapita wanaomba kura kisha wanasepa. Mie nimeshachoka kuwasikiliza hata sasa niko tayari kupiga kura.
Magufuli hauwezi kumuelewa hata kidogo maana anapochambua vifungu vya sheria na takwimu za mpingo yake wakati wewe akili yako ni ya KUSIKILIZA mchakamchaka,
Basi kwa magufuli lazima kuondoka patupu,
 
Back
Top Bottom