The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,589
- 14,137
Hakuna tuhuma hapo za kufanya mama ahamakiAmeshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.
Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa CCM na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.