Kwa tuhuma nzito alizomtuhumu Rais Samia, Lissu hawezi kurudi Tanzania

Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa CCM na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Hakuna tuhuma hapo za kufanya mama ahamaki
 
Bwashee nakupa tahadhari, Mtu ambaye upstairs hakuko sawa (#dishlimetilt) anaweza kufanya kitu chocho hata usichokitegemea.
Kuhusu tundu lisu, pamoja na tuhuma hizo ulizozitaja, pamoja na kusema kwamba hatarudi mpaka ahakikishiwe usalama wake; nakwambia tegemea kitu chochote toka kwake.
Rais Samia anaonekana yuko anxious kumuona Tundu Lissu anarudi. It is only the details whi
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola....

Watu wako busy na siasa, huku Taifa linahitaji nguvu kazi, Taifa linahitaji uzarishaji mali wa kutosha nk.....Taifa hilo hilo liko busy kumuweka Rais busy na siasa na kuacha mambo mengine ya msingi....ukiwasikiliza hawa wanasiasa wako busy na siasa kuliko kumobilize raia juu ya yale ya msingi...
Exactly, Nchi Ina wapuuzi wengi Sana,

Yaan wanataka Rais hasiwaze jinsi ya kufanya mambo ya maendeleo,awe busy na siasa za ovyo na mambo ya hovyo
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa CCM na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Fafanua tuhuma zake kwenye andiko lako au ndio ule weledi was akina badluck&co. Katiba mpya ya wananchi ndio dawa ya upuuzi wote katika taifa hili.
 
Exactly, Nchi Ina wapuuzi wengi Sana,

Yaan wanataka Rais hasiwaze jinsi ya kufanya mambo ya maendeleo,awe busy na siasa za ovyo na mambo ya hovyo

..raisi angefungulia mikutano ya vyama vya siasa, na kuamuru Polisi waache kuwafuatafuata wafuasi wa vyama vya upinzani, makelele na malalamiko yasingekuwepo.
 
..raisi angefungulia mikutano ya vyama vya siasa, na kuamuru Polisi waache kuwafuatafuata wafuasi wa vyama vya upinzani, makelele na malalamiko yasingekuwepo.
Mkuu wewe unakumbu kumbu kwasababu umeishi hali hiyo.
Unakumbuka Polisi waliokuwa wanazuia mikutano ya Mrema wa NCCR wakati ule

Nyerere alisema mtu kama anataka kubwebwa amevunja sheria gani ya nchi? Mwacheni

Baada ya hapo hatukusikia tena kubebwa wala vurugu au chochote hadi Mrema alipolambwa mtama kule Tanga na ndio ukawa mwanzo wa mwisho wake hadi leo akiwa mkuu wa Parole sijui.

Polisi ndio wanaleta matatizo, kwa mfano yule aliyesema kuna 'ugaidi' . Mkuu wake kaulizwa hana jibu. Ni aibu tupu na wana 'create; unnecessary tension. Tulishafika mahali pazuri sana katika siasa za ushindani, tumerudi nyuma 30 yrs
 
kwani hapo uongo ni upi. kwani mama samia amekubali kufanya uchunguzi?

Back
Top Bottom