Kwa Timu za Simba na Yanga ni nani anayeamua kubadili Kocha na labda vigezo vyao vinakuwa nini hasa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,419
215,180
Nimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm miaka michache iliyopita .

Natanguliza shukrani .
 
We acha tu mkuu
 
Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkataba
 
Kwa mfano unaweza kutuwekea malengo ya Simba msimu uliopita yaliyozidi ubingwa walioupata ?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom