Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

Mh...hii post imeachwa kweli HAI.?? Au ni wenyewe admins ndiyo mmeiweka?

Kweli duniani hakuna HAKI.
 
Usije ukadhani eti wewe humtaki Magu na wengine hawamtaki! la hasha! Basi jua kuwa wengi wanamkubali kisiri moyo sana, ila hawataki siasa. Wanaona wanapoteza muda wao kwa vitu visivyo vya msingi.
Tatizo mnaomtaka mkiulizwa hadharani mnaona aibu
Ni kwamba hata dhamira zenu zinawasuta
Imefikiw pahala ukikutana na watz 10 ukiwaambia walimchagua utakuta karibu 7 wanakanusha kumchagua
Tunajiuliza kama kweli hakuchaguliwa kura nyingi zile nani alimpaa ?
Misukule tz imejaa kweli lakini sio kweli kwamba hata JF misukule imejaa
Mko wachache sana na ninyi sio kwamba ni Misukule Bali njia za kujikimu zimebanwa kwa hiyo mnalipwa per day kwa kushangilia
Ninyi ni kama wale wanaokodishwa kulia kwenye misiba
 
Magufuli yuko sahihi 95 % hii mitandao inaboa sasa bora ifungwe magufuguli ni binadamu hana utashi wake katika kuongoza tatizo mnaangalia sana tamaa zenu binafsi ndo maana mnamuona hafai na wakati mwingine lazima mfahamu kuna mambo yanaitaji faida kwa taifa hats kama linaumiza maslahi ya mtu mmoja

By josaya
 
Ujima huu. Kama hutaki wewe Hama mitandaoni. Kasome uhuru, habari Leo, mzalendo. Tuache kizazi kipya tufaidi
 
Back
Top Bottom