Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

Jambo lingine la kushangaza katika teuzi za Mkulu ni kuwa 90% ya teuzi zake ni za maPhD holders, kwa maana ya Professors na Doctors.........

Wakati Anjela Kairuki alituaminisha kuwa nafasi za siasa including maRC, maDC na mawaziri the only qualification wanayotakiwa kuwa nayo ni ONLY kujua kusoma na kuandika!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kwel mkuu watoto maskn wamejtaid kusoma kwa bidii had chuo kikuu leo kawatupa,
Ulitegemea aajiri wote vyuo vikuu vyetu vinalisha maelfu ya wahitimu kila mwaka uwezo wa kuajiri wote haupo,jiajiri kijana wee tembea na bahasha ya kaki kila siku posta utazeeka
 
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe
Umechelewa, tayari kaishaombewa na Cardinal Pengo, Mufti, Askofu mkuu Malasusa, Mzee wa Upako, kiongozi mkuu wa Bohora na wakuu wengine wa dini lukuki hivyo dua zenu zinazoambatana na chuki binafsi huko Makongorosi kwa sasa hazina ulazima sana maana hata wahenga walisema Dau la mnyonge haliendi joshi.
 
Wala hatuhitaji maombi yako ww Ni kibaraka sisi tuliowengi tunapiga magoti na kumuombea kila siku asubuhi Na kabla ya kulala mungu ibariki tanzania bariki viongozi wetu
 
mkuu wa majeshi kanda ya ziwa.
mkuu wa polisi kanda kanda ya ziwa
kaimu jaji mkuu kanda ya ziwa
mkuu wa mkoa kanda ya ziwa. Hivi wanaccm hawalioni hili. Ni lini ccm imepoteza watu makini .
 
Ondoa (tu) maana hayo ni mawazo yako. Usiwasemee wenzio. Sema sikuombei, nimeshakuchoka.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe

SEMA SIKUOMBEI, USITUJUMUISHE NA SISI TUNAOJIELEWA, MTU AOMBEWI KWA SABABU ANAFANYA MEMA, ANAOMBEWA ILI ASAIDIKE. WEWE WALA HUKUWA MTU WA KUMWOMBEA, PELEKA HISIA KULE NA CHUKI.

HATA MIMI HIZI TEUZI ZINABOA KILA SIKU, ILA NDO SABABU ZAIDI YA KUMWOMBEA.
 
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe
Tumia neno Sita badala ya hatuta maana mimi nita!!!!!!
 
This is the product of Tanzania's education system that the President is trying vehemently to correct! Magufuli.. you have work to do! Inawezekana na wewe utadai una shahada ya Chuo Kikuu unasubiri ajira. Anza kujitambua kuwa una cheti cha shahada huna elimu ya shahada.
 
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe

Dah.......Pray For Yourself.....For Your Family........and For The One You Love. Full Stop.
 
Back
Top Bottom