kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,154
Eti anataka ushirikiano
Mara anataka aombewe
Hatutatoa ushirikiano kwa mtu ambaye anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki.
Watoto wa masikini walosoma kwa mikopo na degree zao masikini ya mungu wanazurura mitaani hakuna.ajira wataishije? halafu hapo wanawindwa na bodi ya mikopo
Huku yeye huyo mtaka kuombewa kila siku panga pangua tu teuzi zimejaa marafiki, majamaa, ndugu na washirika watoto Wa masikini na watanzania Washasahauliwa
Ni dhambi kuendesha nchi kama unaendesha family yako
Wale wachapa kazi ulokua unasema na kuwasifia wakati wa kampeni wameishia wapi? maana naona unateua wanakupigia debe na marafiki tu
It is very shame kuendesha nchi katika misingi hii ya ajabu hivi
Hatukuombei, wala kukupa ushirikiano jiombee mwenyewe