Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,863
- 3,190
Uwaziri sio mali ya mtu binafsi bro hata ww unaweza kuteuliwaWakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.