Aliefariki ni Willium Mgimwa.Hivi Mustafa alisha tangulia
Namuomba radhi Mheshimiwa Mustafa niliemsingizia kifo, familia yake na Watanzania wote.
Nilichokuwa nakumbuka bi Saada slim replace boss wake kumbe hakuwa Mustafa
Aliefariki ni Willium Mgimwa.Hivi Mustafa alisha tangulia
Hafai hata jalalani. Ni Kama chumvi isiyo na ladha ya kichumvi chumvi
Ulishajifunza uchimbaji wa dhahabu?Kuna maisha nje ya uwaziri!
Kwa hiyo unatuthobitishia wanakijani, ni tumtu twa dili dili tu, Huku tukitung'ona kuwa nyie ni wangonge sio?Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Usinikumbushe January MakambaTatizo wanaotolewa na wanaowekwa wote hovyo.
Ndio maana tangu juzi v.8 linasimama kwenye kibanda fulani kule mwisho wa shamba!Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Sikutegemea kama KALEMANI angetupwa nje!Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Sasa yule anayebaki tutampa wizara gani. Au tuigawe wizara ya nishati.Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Yule wa michezo mbona humsemi mkuuWakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zakeKwani na yeye ni sukuma gang kama kalemani.....
AhahahhaBiteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake
Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6