Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

Hivi Mustafa alisha tangulia
Aliefariki ni Willium Mgimwa.
Namuomba radhi Mheshimiwa Mustafa niliemsingizia kifo, familia yake na Watanzania wote.
Nilichokuwa nakumbuka bi Saada slim replace boss wake kumbe hakuwa Mustafa
 
Hafai hata jalalani. Ni Kama chumvi isiyo na ladha ya kichumvi chumvi

Mt 5:13-16 SUV​

Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
 
Katika watu mil 60 kuna watu Zaidi ya Mil 3 wanafaa Kuwa Mawaziri Mpaka Urais...Lakini Hawana nafasi hizo kutokana na Mifumo kuwa Mibovu na iliyoshikiliwa na vikundi flani flani na kama hauko katika makundi hayo mana yake uko nje ya mfumo na huwezi kufika huko.
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Kwa hiyo unatuthobitishia wanakijani, ni tumtu twa dili dili tu, Huku tukitung'ona kuwa nyie ni wangonge sio?
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Ndio maana tangu juzi v.8 linasimama kwenye kibanda fulani kule mwisho wa shamba!
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Sikutegemea kama KALEMANI angetupwa nje!
Ama kweli, wafaidika kwa JIWE, watamkumbuka!
Sie WATOTO WA KAMBO, tunaona sawa tu!
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Sasa yule anayebaki tutampa wizara gani. Au tuigawe wizara ya nishati.
 
Back
Top Bottom