Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa.

makwega7

JF-Expert Member
Mar 18, 2018
233
250
Hivi Mustafa alisha tangulia
Aliefariki ni Willium Mgimwa.
Namuomba radhi Mheshimiwa Mustafa niliemsingizia kifo, familia yake na Watanzania wote.
Nilichokuwa nakumbuka bi Saada slim replace boss wake kumbe hakuwa Mustafa
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,974
2,000
Hafai hata jalalani. Ni Kama chumvi isiyo na ladha ya kichumvi chumvi

Mt 5:13-16 SUV​

Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,188
2,000
Katika watu mil 60 kuna watu Zaidi ya Mil 3 wanafaa Kuwa Mawaziri Mpaka Urais...Lakini Hawana nafasi hizo kutokana na Mifumo kuwa Mibovu na iliyoshikiliwa na vikundi flani flani na kama hauko katika makundi hayo mana yake uko nje ya mfumo na huwezi kufika huko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom