Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,239
- 14,075
Ukiachilia watekaji,Sasa wewe ipe tabu familia yako watu waanze kusoma arobaini hata pasipo kuuona mwili wako
Kwani kuna watu au taasisi ya uma isiyotaka kupatikana kwa MO dewji ?
Serikali itanitetea, na kunilinda.