Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

Tuwe wakweli ni mara ngapi tumeona watu wanakwepa kutoa taarifa muhimu polis kwa mfano unakuta mtu kafa bara barani unaangalia kushoto kama hujamuona vile,
Mara ngapi unakutana na bunduki imefichwa alafu unaipita kama umeona mti tu
Mara ngapi majirani wanavamiwa usiku tunaogopa kutoa ushirikiano??

Hii yote ni ile Sheria mbovu ya kulisaidia jeshi la polis , wanasomba tu,

Mfano kuna wengi huwa wanasakiziwa sana , unaenda kutoa taarifa unavulishwa viatu kuwekwa ndani,

Leo hii ukamuona dewji ukaenda kureport
1. Kwanza utaambiwa kwakuwa hela imetangazwa ndo ukaamua ureport hebu kuwa central unasaidia polis kidogo

2. Utaambiwa umepata pata vipi habari kwamba yuko upande huo, hapo mambo sasa ashaita waandishi wa habari kwamba tumempata mtekaji, usiombee ukamatwe n.a. Yule wa dodoma utapata tabu sana


Hivo usishangae hiyo bilion yako serikali inataka income tax asilimia kadhaa huku umewasaidia kazi yao,

Aisee mi ntarudi bongo kuazia mwaka 2030
Mimi hiyo nalipwa cash hapa kilingeni Msata kisha nasepa baharini naibukia mombasa nikaponde malaha
 
Upo sahihi kabisa. Nina mifano mingi mno. Kuna jamaa fulani maeneo, alikamatwa kwa kosa la uvuvi haramu, then akawekwa mahabusu, ila kabla ya kuingia sero alikabidhi vitu vyake, baada ya kutoka mahabusu akaambiwa aje kesho yake kuchukua vitu vyake, alipofika tu aliambiwa kamtukana afisa wa polisi wa zamu, tena wakamuweka ndani, ndugu zake ikabidi watoe laki moja na nusu kumtoa.
Kwa ufupi jeshi la polisi lina majambazi na wezi. Mfano mwingine wakienda kwenye misako ya ng’ombe kwenye hifadhi huwa wanachukua mifugo na kugawana, sasa achilia kwenye ushahidi, yaani ukienda kutoa taarifa wanakuweka ndani na kukubambikiza kesi hata ya mauaji, ili utoe rushwa, so sad, hii ndo bongo.
Kumbe wakati mwingine akili zinakuijia, nilidhani kila siku ni shabiki wa ndiyooooooooo.
 
Ni haki yako kutoa taarifa,itumie
...ukisikia kuisaidia polisi, si mchezo waweza enda nye..a debe kwa kuingilia kazi yao, sio wote walowahi saidia polisi kwa nia njema wametoka salama. Tuwaachie watekeleze majukumu yaooo wana weledi wa kutosha (vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikiunganisha nguvu majibu yatapatikana).
 
...ukisikia kuisaidia polisi, si mchezo waweza enda nye..a debe kwa kuingilia kazi yao, sio wote walowahi saidia polisi kwa nia njema wametoka salama. Tuwaachie watekeleze majukumu yaooo wana weledi wa kutosha (vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikiunganisha nguvu majibu yatapatikana).
Hakika
 
Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Hujakumbana na harubu za polisi wewe muulize zombe.
 
Hizo number ukigusa tu how sure hazijawa linked na makachero? Ilaits a good dtrategy na nafikiri polisi wamewaruhusu
 
Acha uwongo na wewe walahi
Wanaume wako kazini View attachment 899134
Aisee nimeipenda sana hii mzee baba.Na huku kariakoo najaribu kupitapita kwenye maduka ya wahindi pengine MO kafichwa kwa ndani sasa nimeanza safari tokea mtaa wa Mkunguni sasa nakaribia huku mnazi mmoja kila ninapoenda holaa.Aise 1b haitomuacha mtu salama.
 
Ukipata taarifa za Mo tafuta mtu aliye nje ya nchi,then huyo ndo awapigie ,then we utapata muamala Kwa huyo jamaa wa nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom