Kwa Taarifa yako Makadinali ( Cardinals) wamegawanyika katika madaraja matatu makuu Duniani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,697
Wadau wa JF

Inawezekana ulikuwa hujui lakini Makadinali ( Cardinals) kwa mujibu wa Kanisa la Roman Catholic wamepangwa au kugawanywa kwenye madaraja matatu makuu

Daraja la Juu kabisa ( Cardinals Bishop)

Daraja la Kati ( Cardinals Priests)

Daraja la chini kabisa ( Cardinals deacons)

Makadinali wa daraja la Juu Duniani kote hawafiki 10

Mhashamu Polycarp Pengo yupo daraja la 2 la Ukadinali

Pitia nyaraka rasmi za Kanisa Catholic kwa rejea zaidi
 
Pitia nyaraka rasmi za Kanisa Catholic kwa rejea

Mhashamu Polycarp Pengo yupo daraja la 2 la Ukadinali
Ingekuwa bema kama ungetueleza na vigezo vinavyotumika kuwapata/kuwateua makadinari hao kwa kila ngazi.

Halafu kulikuwa na haja gani kuweka madraja kwa mtindo huo ulivyoandika;
Mfano umesema Daraja la juu kabisa....au daraja la chini kabisa, ni kama vile kuna daraja la juu la kawaida halafu ndo linakuja la juu kabisa. Au daraja la chini kabisa..... ni kama vile kuna daraja la chini la kawaida halafu ndo linakuja daraja la chini kabisa.
 
Wadau wa JF

Inawezekana ulikuwa hujui lakini Makadinali ( Cardinals) kwa mujibu wa Kanisa la Roman Catholic wamepangwa au kugawanywa kwenye madaraja matatu makuu

Daraja la Juu kabisa ( Cardinals Bishop)

Daraja la Kati ( Cardinals Priests)

Daraja la chini kabisa ( Cardinals deacons)

Makadinali wa daraja la Juu Duniani kote hawafiki 10

Mhashamu Polycarp Pengo yupo daraja la 2 la Ukadinali

Pitia nyaraka rasmi za Kanisa Catholic kwa rejea zaidi
Ingekuwa vizuri kama wewe uliyefukunyua huko madaraja ukatuletea na mengine tukasoma.
 
"Half education is more dangerous than no education"
Ona jamaa hapo kaweka heading nzuri ila kontent zero yaani ameshindwa hata kueleza cardinal ni nani, cardinal bishop hali kadhalika.
Wabongo tu wavivu sana si kusoma bali hata kuandika
 
Kuna hawa,
Msinyore,
Abate,
Bruda,
Policap.
Mwadhama nk
Anayejua mamlaka zao kitume
 
Na pia niliwahi kusikia hapo zamani Papa, makadinali na mapadri walikuwa wanaoa na kuwa na watoto, sijui ni nini kilitokea wakageuza mambo?

Lakini kwa hali ilivyo sasa ipo siku watarejea kulekule, waoe ili maisha yaende fresh.
 
Back
Top Bottom