Elections 2010 Kwa taarifa kuwa Dialo kakubali kusign

Amigo

Senior Member
Mar 7, 2009
150
3
Habari kutoka Mwanza kuwa Dialo kakubali kusign matokeo so Mwanza CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sasa Diallo atapata wasaa wakukaa na kuangalia biashara zake vizuri kama Mengi na kua karibu na wananchi.
 
Ni kweli Dialo kakubali ila haka kengine ka brothermen sijui kwa ninin hakataki..
tabia zake hazina mvuto harafu anang'ang'ania matokeo...:tape:
 
I know Dialo ni mstaarabu ila Masha sijui ndo ujana maji ya moto
 
Dialo ameonyesha ukomavu mkubwa laiti Masha na Batilda wangekuwa na moyo wa jinsi hii Tanzania ingeendelea kuwa kisiwa cha amani.
 
Huko ndiko kukua kisiasa. Lakini huyu ni tofauti na Masha kwani hategemei ubunge kulisha familia yake
 
Pole sana Anthony lakini unastahili pongezi kwa uungwana ulioonyesha wa kukubali matokeo, ndiyo maana ya ushindani mkubwa.
 
Back
Top Bottom