gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,670
- 2,165
hili suala la mikutano na maandamano magazeti yatatufikisha maala hambapo damu ya watanzania itamwagika,nasema haya nikuwa na maana kwamba wanahabari ama kwa ushabiki au kwa uchama wanashindwa kuweka wazi kwamba,mikutano na maandamano ni halali au ni batili kufanywa na vyama vya siasa na kama wana habari wataendelea na mtindo huu watakuwa wa kwanza kuchukuliwa hatua kwa kuchochea umwagaji damu. wana JF nawaombeni tushirikiane kuwaeleza wana habari wetu watueleze sheria inasemaje kuhusu suala hili la maandamano na mikutano ya siasa