johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,105
- 164,483
Nakubaliana na uwepo wa vat ktk sekta ya fedha na utalii.Kelele zinazopigwa sasa ni sababu wameguswa wakubwa na wanawatumia wanyonge kupeleka kilio chao but mwisho wa siku soko litaamua.Pili TRA wanapaswa kutoa elimu ya kweli ya kodi ili traders wajue EFD ni kwa ajili ya kurekodi sales na purchases kwa yule buyer na watoze kodi kisheria badala ya kutumia standard rates ambazo haziko fair na zinaangalia sales badala ya income.Elimu ikitolewa traders watazikimbilia EFD kwani zitawasaidia kulipa fair tax kuliko sasa.