Kwa suala la Kapuya wanaharakati nchini mmenunuliwa


New Force 2015

New Force 2015

Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
63
Likes
7
Points
15
New Force 2015

New Force 2015

Member
Joined Oct 25, 2013
63 7 15
Msichana amebakwa, anatishiwa kuuawa, watu walisema yupo sirini akajitokeza akafungua shitaka Polisi, katibu wa bunge akasema ni jinai, polisi wakakwepa kumkamata, hadi sasa haijulikani nini hatima yake. TAMWA, TGNP, UWT, BAWACHA, na makundi yote ya wanawake mmekalia kimya Ubakaji. Naumia kweli, sijui hatima yetu wasichana na viongozi kama huyu. Mtu anatishia kuua bado yupo polisi wanamsikilizia. Jamani!
 
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
1,629
Likes
19
Points
135
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
1,629 19 135
wakijitokeza watakosa fund! hawa ni kelele tu,
 
K

Kamawewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Messages
432
Likes
270
Points
80
K

Kamawewe

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2013
432 270 80
Wewe hujui hizi TAMWA, TGNP, UWT, BAWACHA na Wanaharakati zipo kwa maslahi binafsi, wanaangalia penye maslahi ndio maana wengine wanatumika sana na wanasiasa kwa kutoa matamko yasiyo na tija lakini swala kama hili wapo kimya, ata kama ulikuwa huamini ebu cheki Prof alivyodanganya kitoto kuhusu number ya simu lazima uhisi harufu ya uhalifu
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,031
Likes
5,346
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,031 5,346 280
Hao mnao waita wanaharakati za haki za watu, sio kweli ni kwa ajili ya haki zao! wameanadamana na kutishia kuvua nguo kwa ulimboka sijui mengine kimya, kimya kabisa kama hawapo duniani!

naamini sio waungwana, kiukweli siungani nao kamwe kamwe kabisa....
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,424