Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Hii Ni Kufuru... Six Pack Ni Pesa Na Sio GymView attachment VID-20181216-WA0183.mp4
Na kuliwa analiwaHamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Mond huwez kukaa kaa mbele yake mapaja wazi na kumkumbatia kumbatia asimgonge,anyway watajuana wenyewe bana na drama zao maisha yenyewe magumu haya.Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Tusipende kubeza gym kwa kisingizio cha pesa... Ni ujuhaHii Ni Kufuru... Six Pack Ni Pesa Na Sio GymView attachment 969836
Aisee yaweza kua kweliHamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Kwa hiyo unataka kusema hizo falanga ni za huyo demu?Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Dem kaja kumpa Mondi hela ya shows mbili za Nairobi na Mombasa.Kwa hiyo unataka kusema hizo falanga ni za huyo demu?
Kwa hiyo ni za Mondi?Dem kaja kumpa Mondi hela ya shows mbili za Nairobi na Mombasa.
Pigia mstari.Kwa hiyo ni za Mondi?
Inaweza kuwa kiki ndio, ila kugongwa ni 'PIE'Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Hahahaha mkuu umenifurahisha. Wenye vitambi wameona ndio chaka la kujifichaTusipende kubeza gym kwa kisingizio cha pesa... Ni ujuha
Kumbuka kwa limbukeni utaziona hizo hela za madafu nyingi isana, kwa walionazo tena zikiwa $$$$ hizo ni chenji ya mama kununulia mboga tu!!
We umekula dagaa usungu unaita hela za watu za mboga.
Sawa wenye pesa Zao hawajitangazi mtadaoni namna hiyo, ni nyinyi mliopata vijisenti mnaanza kuliza mbwata!!
Sawa, we hata vijisenti huna kwahiyo kaa ule kwa macho tu.