Kwa style hii folen haiwezi kuisha dar

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,800
6,280
Hii ni familia moja yenye makazi yake ukonga, utakuta...

Mtoto ndio kwanza amemaliza chuo UDSM na amebahatika kupata kazi pale EPZA karibu na mabibo hostel ila hajaanza kujitegemea, huyu ana gari lake

Baba ni manager wa crdb bank branch ya mlimani city, huyu nae ana gari lake

Mama ni mjasiriamali ana maduka Mwenge, huyu pia ana gari lake

Sasa asubuhi wakitoka nyumbani kila mtu anatoka na gari lake wkt route yao ni moja, wangeweza kutumia gari moja, wakaanza kumdrop mtoto kazini, akafata baba thn mama akabaki na gari coz ni wa mwisho, kila mtu angetumia gari lake siku zenye uhitaji kama week end.

Nawasilisha.
 
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................
 
nyc analysis
 
Nice observation! Mama hana "nyumba ndogo". Wamama ni wema, wanaume ndio wazinzi
 
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................

kidum kinachomjazia mafuta kwenye gari...
 
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................

Hahaha mkuu umenichekesha sana!
 
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................

Mtoto ana demu. Baba ana nyumba ndogo mama ana wanakikundi mhhhh?i?? Wanaume tunashida hebu tuache weekend hii tupumue
 
Wazo zuri aiseee ila inabidi tuangalie pia mda wa kutoka kazini kwani naisi kama mama atachelewa kutoka kazini so wakimngojea watasubiria sana. Foleni za hapa Dar tujenge fly over TAZARA , UBUNGO, KARUME, AKIBA etc TANROAD MKOA uarakishe uwekwaji wa lami katika barabara za kinyerezi-malamba mawili-mbezi na pia mbezi-goba-tegeta hii pia itapunguza foleni asa Morogoro road.
 
Well said bily
 
Hii ni familia moja yenye makazi yake ukonga, utakuta...

Mtoto ndio kwanza amemaliza chuo UDSM na amebahatika kupata kazi pale EPZA karibu na mabibo hostel ila hajaanza kujitegemea, huyu ana gari lake

Baba ni manager wa crdb bank branch ya mlimani city, huyu nae ana gari lake

Mama ni mjasiriamali ana maduka Mwenge, huyu pia ana gari lake

Sasa asubuhi wakitoka nyumbani kila mtu anatoka na gari lake wkt route yao ni moja, wangeweza kutumia gari moja, wakaanza kumdrop mtoto kazini, akafata baba thn mama akabaki na gari coz ni wa mwisho, kila mtu angetumia gari lake siku zenye uhitaji kama week end.

Nawasilisha.

kuongezeka kwa foleni ndio maendeleo yenyewe hayo.. by JMK president
 
TANMO umeua aisee! ila ni ukweli huo!
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................
 
Last edited by a moderator:
...serikali ikihamia Dodoma foleni itakuwa ni historia D'Salaam.

This makes sense. Shida ni kwamba, hao wanaotakiwa kutoa maamuzi ya kuhamia Dodoma ndio ndio wanaotakiwa kuanza kuhama kwanza. Taabu tupu
 
Mtoto ana demu wake mitaa ya Kipawa anataka ampe lift mpaka chuo....
Baba ana nyumba ndogo yake Kigogo anataka kuipitia akai-drop ubungo inapofanyia kazi....
Mama ana wanakikundi wenzake ambao mara kwa mara huwapa lift kutokana na adha ya kupata usafiri.....................

meipenda sn hii.
 
mwezi wa kupoa .ni huu desemba, watu wakienda mlimani hakuna tena foleni hadi January....
 
Back
Top Bottom