Kwa staili hii ntamuweza huyu mtoto?

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Katangulia chumbani baada ya kumaliza kula, sasa naingia ndani nakuta zoezi kama loote, nikajiuliza ni kunitisha au maana mh
IMG_20190618_211830.png


Baada ya kuona hivo nikawaza kina Mwajuma wa ukerewe, akimaliza mazoezi, nabaniwa mzigo eti kachoka
 
Angalia meseji zako labda ulimwomba pambano wewe umesahau....

Hapo anapasha tegemea za uso.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom