Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka endapo wataendelea kuwa kwenye muungano.

Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

CHADEMA inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!
tatizo unasikiliza tuuu hutafakari!

Mkuu tatizo unasikiliza kwa kutumia Makalio na unachagua yale unayoyapenda

Mkuu hujatafakari kabla ya kutoa ghilba zako, nimemsikia na naunga mkono kwa alichosema. Unajua ukishakuwa na mawazo hasi dhidi ya mtu basi hata akileta jambo jema utapinga tuuu. Legally muungano ni void ab initio, hebu cheki mapendekezo ya katiba mpya watu wa bara tutafanya kwa fadhila za wazanzibar, huo ni ujinga sana.

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Naomba Nimnukuu Lisu

Imefikia wakati, kwa mara ya Kwanza kabisa wananchi wa Tanzania waamue aina ya Muungano kama wanautaka huo Muungano

CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!
Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

Ohoooo!yale yale yaliyosemwa mayor wa jiji.

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

ungekuwa umemsikiliza kwa makini kweli hii spread yako ya kipuuzi usingeiandika huu ubungo wako nafikiri umejaa kinyesi

Acha kufikiri kwa kutumia masaburi.sikiliza.tafakari kama hujaelewa uliza.ukisha elewa toa hukumu.

Hivi kuna watanzania wenzangu ambao wana weza kuandika maoni yao kwenye mitandao ya kijamii (wasomi) ambao hawaJui kwamba huu Muungano tulionao sio watanzania waloamua bali Marehemu Baba wa Taifa? Sasa kuna ubaya gani sisi wenyewe tukiamua kuhusu huu muungano? Lissu anawakilisha sauti ya watanzania Huru wenye haki ya kujiamulia mambo yao!

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

yani hata kabla sijafika robo ya mada yako nimeona tu kuwa demokrasia kwako ni mwiba

Muungano bado ni suala linalohitaji mjadala wa kitaifa kwani si majibu yote yamepatikana...kama pande zote bado zahitaji muungano basi naamini majibu ya kero zilizopo yatapatikana na muungano utazidi kudumu.
binafsi naupenda muungano.

CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!

Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

mimi c mwanasiasa lakini najiuliza hawa cdm ndo chanzo cha matatizo yote? Ikiwemo
-maji
-umeme
-ajira
-miundombinu
-madawa na hosptl
-elimu duni n.k

kazi kweli kweli

We kwa vyovyote utakua umeiba vyeti.kumbe hata yanayoendelea nchini mwako huyatambui.nyie ndo wale wali wa bi kilembwe nyeupe mnasema nyeusi.

CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!

Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

Muungano uendelee ikiwa unafaida kwa pande zote, na pande zote hazina malalamiko. Kila jambo hufaa wakati fulani na sio kila wakati. Waasisi walikuwa na nia njema ya kuungana. Na wakati ule ulifaa. Leo unafaa pia? Uendelee uwepo? Kama hautufai, hauna maana kuendelea kuwepo? Kama unafaa na uendelee. Hii itaamuliwa vizuri katika kura za maoni kwa pande zote mbili. Hakuna sababu ya kuendelea kulalamika miaka yote kuwa upande fulani wa Muungano hauridhishwi, mara kile mara hiki. Ifike mahali hakuna tena kuzungumzia huu Muungano. Ama haupo na pande zote zitabaki na amani. Au unakuwepo na unakubalika.

Nauunga mkono hotuba ya Lisu, it was purely a political legaly professional Speech, I never heard in this country. Ameongea kwa research iliyojitosheleza mpaka wale Majudge waliokuwa wanamsikiliza walionekana kupigwa shule na si kulewa madaraka. Bravo Lisu.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom