Kwa sisi tunaopanda Daladala toka Tegeta mpaka Mbagala madereva zingatieni haya ni muhimu sana

"Kuna mdau imagine anapanda daladala toka Tegeta mpaka Mbagala. Dereva hataki angalau kuweka kituo cha kuchimba dawa. Hii siyo haki. Daladala inapaswa isimame hata dakika 10 watu washuke wachimbe dawa then safari iendelee.

Maana toka Tegeta mpaka Mbagala ni safari wadau. Ikiwezekana hata kuwe na sehemu watu wanunue hata mihogo na juice za chupa wanywe kukata makali ya njaa.

Madereva wekeni ubunifu.mkiweza wekeni hata TV basi. Tuwe tunacheck hata movie siyo tunakuwa bored kama tunasafirisha maiti.

Asanteni sana"

Ni mimi.
Ncha ya Mkuki Haipigwi konzi
Hii route sidhani kama ipo,
Ila basi tu hilo jina aka yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom