kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,611
Nimesikia mamlaka inayohusika imefanya mabadiliko ya route kadhaa.. Usikute hii ipo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unaishi wapi kabla?Tuende mbele turudi nyuma tegeta pazuri Sana adse kwa kuishi...Tangu nimehamia huku nko comfortable sana
Sent using Jamii Forums mobile app
afu unazunguka ya goba ni balaa bora uende bagamoyoRoute niliyoiona ndefu kwa Dar ni ya makumbusho/kibamba.
bora upite goba ila hakikisha upo kwenye siti otherwise unaweza dondokea watu
Hii route sidhani kama ipo,"Kuna mdau imagine anapanda daladala toka Tegeta mpaka Mbagala. Dereva hataki angalau kuweka kituo cha kuchimba dawa. Hii siyo haki. Daladala inapaswa isimame hata dakika 10 watu washuke wachimbe dawa then safari iendelee.
Maana toka Tegeta mpaka Mbagala ni safari wadau. Ikiwezekana hata kuwe na sehemu watu wanunue hata mihogo na juice za chupa wanywe kukata makali ya njaa.
Madereva wekeni ubunifu.mkiweza wekeni hata TV basi. Tuwe tunacheck hata movie siyo tunakuwa bored kama tunasafirisha maiti.
Asanteni sana"
Ni mimi.
Ncha ya Mkuki Haipigwi konzi