Kwa sisi tunaopanda Daladala toka Tegeta mpaka Mbagala madereva zingatieni haya ni muhimu sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
"Kuna mdau imagine anapanda daladala toka Tegeta mpaka Mbagala. Dereva hataki angalau kuweka kituo cha kuchimba dawa. Hii siyo haki. Daladala inapaswa isimame hata dakika 10 watu washuke wachimbe dawa then safari iendelee.

Maana toka Tegeta mpaka Mbagala ni safari wadau. Ikiwezekana hata kuwe na sehemu watu wanunue hata mihogo na juice za chupa wanywe kukata makali ya njaa.

Madereva wekeni ubunifu.mkiweza wekeni hata TV basi. Tuwe tunacheck hata movie siyo tunakuwa bored kama tunasafirisha maiti.

Asanteni sana"

Ni mimi.
Ncha ya Mkuki Haipigwi konzi
 
Kwani siku hizi kuna basi ya kwenda mbagala moja kwa moja?

Nilizani ni Mpaka ufuke kawe au mawasiliano au kituo cha makumbusho kumbe siyo?

Maana yangu kama kuna kuunganisha magari kabla ya kupanda ya kupanda lingine unapaswa kwenda kujiweka sawa kabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Kuna mdau imagine anapanda daladala toka Tegeta mpaka Mbagala. Dereva hataki angalau kuweka kituo cha kuchimba dawa. Hii siyo haki. Daladala inapaswa isimame hata dk 10 watu washuke wachimbe dawa then safari iendelee.

Maana toka Tegeta mpaka Mbagala ni safari wadau. Ikiwezekana hata kuwe na sehemu watu wanunue hata mihogo na juice za chupa wanywe kukata makali ya njaa.

Madereva wekeni ubunifu.mkiweza wekeni hata TV basi. Tuwe tunacheck hata movie siyo tunakuwa boreeeeed kama tunasafirisha maiti.

Asanteni sana"

Ni mimi.
Ncha ya Mkuki Haipigwi konzi
Mkuu hiyo route ipo kweli? Au imeanza ivi karibuni......maana sidhani kama itakuwa na tofauti sana na Mbezi-Msata/Mlandizi kwa distance
 
"Kuna mdau imagine anapanda daladala toka Tegeta mpaka Mbagala. Dereva hataki angalau kuweka kituo cha kuchimba dawa. Hii siyo haki. Daladala inapaswa isimame hata dakika 10 watu washuke wachimbe dawa then safari iendelee.

Maana toka Tegeta mpaka Mbagala ni safari wadau. Ikiwezekana hata kuwe na sehemu watu wanunue hata mihogo na juice za chupa wanywe kukata makali ya njaa.

Madereva wekeni ubunifu.mkiweza wekeni hata TV basi. Tuwe tunacheck hata movie siyo tunakuwa bored kama tunasafirisha maiti.

Asanteni sana"

Ni mimi.
Ncha ya Mkuki Haipigwi konzi
route ya mbagala hadi tegeta imeanza lini ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom