Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #1,341
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa hili.Pablo...
Lugha hiyo haifai ndugu yangu.
P
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa hili.Pablo...
Lugha hiyo haifai ndugu yangu.
Pablo ujue kila neno lina mahala pake na kila mahala pana neno lake, ikiwa neno hilo linatumiwa na waislamu msikitini, hapa JF siyo msikitini na si pa waislamu pekee. Lazima tuchague nini cha kusema, siyo tuwe tunafyatua maneno tu.hamna mzee kafiri ni mtu asiyeamini uislamu,hii ni lugha inayotumiwa sana na waislamu misikitini sheikh,sidhani kama lugha hii haifai
Pascal,Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa hili.
P
Vumilika,Pablo ujue kila neno lina mahala pake na kila mahala pana neno lake, ikiwa neno hilo linatumiwa na waislamu msikitini, hapa JF siyo msikitini na si pa waislamu pekee. Lazima tuchague nini cha kusema, siyo tuwe tunafyatua maneno tu.
Hapo husemi kweli. Weka ushahidi kama u mkweli.wewe acha unafiki,wewe si ulileta maada kuwa nyerere aliua uislamu, unanicheke sha!
Pablo...hamna mzee kafiri ni mtu asiyeamini uislamu,hii ni lugha inayotumiwa sana na waislamu misikitini sheikh,sidhani kama lugha hii haifai
Maalim Faiza,Hapo husemi kweli. Weka ushahidi kama u mkweli.
Napenda ufahamu tu kuwa una nia ya kuibadili mada na mimi nimekuona.
Fungulia uzi tujadili hayo yako. Hapa tumwache Allama Mohamed Said aendeleze darsa adhyim kabisa.
Sinema,Nadhani Pablo atakuwa msikivu maana keshaambiwa maneno ya busara,vinginevyo tutamuona ni extremist.
acha unafikiii wewe usijifanye hujui matumizi ya neno kafiri wakati waislamu ndo mmeanzishaaaaa matumizi ya neno kafiri na mnalitumia misikitiniHapo husemi kweli. Weka ushahidi kama u mkweli.
Napenda ufahamu tu kuwa una nia ya kuibadili mada na mimi nimekuona.
Fungulia uzi tujadili hayo yako. Hapa tumwache Allama Mohamed Said aendeleze darsa adhyim kabisa.
naomba kujua maana ya neno kafiriMaalim Faiza,
Baada ya kuandika makala katika Africa Events mwaka wa 1988 ambamo
nilimtaja Abdul Sykes katika historia ya TANU na mchango wa Waislam katika
TANU na kudai uhuru wa Tanganyika, Dr. Mayanja Kiwanuka wa CCM Dodoma
alinijibu katika gazeti hilo hilo na majibu yake yalikuwa makali sana na yenye
vitisho.
Kutishwa na CCM miaka ile lilikuwa jambo la kutisha sana.
Mimi sikuelewa kwa nini yeye kaghadhibika kiasi kile kimemuudhi nini khasa?
Sasa kilipotoka kitabu mwaka wa 1998 na mijadala ilipoanza hapa JF miaka
kama 10 iliyopita mijadala hii imefuata ''pattern,'' ile ile aliyoianzisha Dr. Kiwanuka
ya kughadhibikana vitisho kwa kusoma historia mpya.
Pablo hana sababu hata kidogo ya kuja na lugha za matusi kwani hapa huu ni
mjadala tu na ana nafasi pana sana ya yeye kuandika lile analoona sawa na watu
wakachangia.
Hakika ''Kiwanuka Syndrome,'' imemkumba kama ilivyowakumba, Paschal Mayala,
Mag3,' Mwanakijiji na wengine wengi.
''And counting...''
kumaliza mjadala nadhani itolewe maana ya neno kafiri,kama linatumika msikitini kwa nini lisitumike hapa?Pablo ujue kila neno lina mahala pake na kila mahala pana neno lake, ikiwa neno hilo linatumiwa na waislamu msikitini, hapa JF siyo msikitini na si pa waislamu pekee. Lazima tuchague nini cha kusema, siyo tuwe tunafyatua maneno tu.
wewe ni mnafiki tena unajijua unajifanya haumchukii nyerere wakati ipo wazi waislamu na nyerere ni paka na panya kafiri mkubwa weweHapo husemi kweli. Weka ushahidi kama u mkweli.
Napenda ufahamu tu kuwa una nia ya kuibadili mada na mimi nimekuona.
Fungulia uzi tujadili hayo yako. Hapa tumwache Allama Mohamed Said aendeleze darsa adhyim kabisa.
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kutuongezea msamiati mpya wa "Kiwanuka Syndrome", japo sikujua the basis ya majibu ya Kiwanuka kuwa makali na vitisho, bandiko hili halina ukali wowote wala vitisho, bali hapa nimetoa angalizo tuu kuwaMaalim Faiza,
Baada ya kuandika makala katika Africa Events mwaka wa 1988 ambamo
nilimtaja Abdul Sykes katika historia ya TANU na mchango wa Waislam katika
TANU na kudai uhuru wa Tanganyika, Dr. Mayanja Kiwanuka wa CCM Dodoma
alinijibu katika gazeti hilo hilo na majibu yake yalikuwa makali sana na yenye
vitisho.
Hakika ''Kiwanuka Syndrome,'' imemkumba kama ilivyowakumba, Paschal Mayala,
Mag3,' Mwanakijiji na wengine wengi.
Wewe uliyemuita "kafiri" hapo juu kidogo ndiye unaempenda?wewe ni mnafiki tena unajijua unajifanya haumchukii nyerere wakati ipo wazi waislamu na nyerere ni paka na panya kafiri mkubwa wewe
Pascal,Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kutuongezea msamiati mpya wa "Kiwanuka Syndrome", japo sikujua the basis ya majibu ya Kiwanuka kuwa makali na vitisho, bandiko hili halina ukali wowote wala vitisho, bali hapa nimetoa angalizo tuu kuwa
Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.
P
Pablo,naomba kujua maana ya neno kafiri
ok ngoja nisome,ila uache unafiki kujifanya hujui matumizi ya neno kafiri,wakati unalitumia sana, kama mimi muongo semaWewe uliyemuita "kafiri" hapo juu kidogo ndiye unaempenda?
Na huyu nae ni Muislam? Msome kasema nini...
Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...www.jamiiforums.com
naomba kujua maana ya neno kafiri
Hakuna aliyekukataza kulitumia neno kafiri lakini kulitumia kwa mtu wa heshima kama Nyerere hapo hukumtendea haki. Ulifundwa juu huko kuwa lina sehemu zake hilo neno, hukuelewa na sidhani kama utaelewa.kumaliza mjadala nadhani itolewe maana ya neno kafiri,kama linatumika msikitini kwa nini lisitumike hapa?
ok ngoja nisome,ila uache unafiki kujifanya hujui matumizi ya neno kafiri,wakati unalitumia sana, kama mimi muongo sema