propagandist
Member
- Aug 12, 2011
- 93
- 9
Mahali tunapoelekea katika siasa hapa tanzania bara za kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni taifa letu litaangamia muda si mrefu, mfano ni siasa za igunga na matokeo yake.
Sasa mbona unaweka mambo nusu nusu, mfano gani huo wa Igunga na matokeo gani? Eleza vizuri ujibiwe.Mahali tunapoelekea katika siasa hapa tanzania bara za kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni taifa letu litaangamia muda si mrefu, mfano ni siasa za igunga na matokeo yake.
Sasa mbona unaweka mambo nusu nusu, mfano gani huo wa Igunga na matokeo gani? Eleza vizuri ujibiwe.
chadema wametumia makanisa mf. paroko katika kanisa aliwatangazia waumini wake kuwaambia chama chetu ni CDM nendeni mkapige kura BWANA awatangulie na Msikiti mkuu nao uliwatangazi msiwape kura CDM kwa kuwa wamemvua hijab DC.