Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.

Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.

Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi. Hangaya ni ya Kutenda Haki na haionei Mwanasiasa.

Sifurahii hizi Hukumu ambazo naziona zinaenda Kuwatokea, ila ukweli ni kwamba Wote Wawili wana Shutuma nzito na kali.
 
ndio mnashtuka hakuwa anatafutwa sabaya?

too late

na cdm mlivyo mashoga, eti kuandamana mnaogopa polisi eti

aibu

makamanda wa keyboard
 
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.

Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.

Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi. Hangaya ni ya Kutenda Haki na haionei Mwanasiasa.

Sifurahii hizi Hukumu ambazo naziona zinaenda Kuwatokea, ila ukweli ni kwamba Wote Wawili wana Shutuma nzito na kali.
Huoni zinaweza kuwani shutuma tu.Na sii wakisaji?
 
Kama ni hivyo basi Serikali imuongezee ulinzi Sabaya maana Mbowe si alitaka kumuua, wakiwekwa jela wote Mbowe kumuua Sabaya si itakuwa kama kumsukuma mlevi?
 
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.

Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.

Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi. Hangaya ni ya Kutenda Haki na haionei Mwanasiasa.

Sifurahii hizi Hukumu ambazo naziona zinaenda Kuwatokea, ila ukweli ni kwamba Wote Wawili wana Shutuma nzito na kali.
Umelala na mumeo mawazo hayo yakaja bila facts kisha unatuletea hapa?
Wakati mwingine ujinga kama huu mshirikishe mumeo anaweza kukushauri uandikeje
 
Back
Top Bottom